Wailboru wenzangu nasikia Mwigulu naye ni Muilboru

kkitabu

Senior Member
Dec 27, 2011
140
47
Si kuamini kama Mwigulu naye muilboru kwasababu hakuna Muilboru mchemkaji kama Mwigulu.
Mimi bweni langu lilikuwa Rungwe je wewe bweni lilikuwa lipi?
 
Sina hakika ni wa mwaka gani!!!!!!!!!!!!, ilboru hutoa viongozi makini sio wababaishaji kama mwigulu, mimi nilikuwa meru house
 
Wailboru sie sio vilaza kama Mwigulu, mkuu umefanya utafiti vizuri? mana statement yako inatushushia hadhi sana
 
Pamoja na kuwa Nchemba katema utombo kwa sana bungeni, lakini haka kauzi kako kana vionjo vya ubaguzi ndani yake! Hivi o-level na primary mlisomea wapi vile?

Ingekuwa vyema kujadili hoja ya Nchemba, na sio status ya shule mliosoma. Lakini kama ulikuwa na interest ya kuwasiliana na ex-Ilboru, basi ungeanzisha uzi unajiotegemea!

Ni mtizamo wangu tu!
 
Wakati najiunga ilboru 1997 mwigulu alikuwa form four nadhani na alikuwa kiranja wakati Gaki akiwa ndio kaka mkuu.Gaki alikuwa mnoko sana mpaka waalimu walikuwa wanamuogopa!Na mwigulu alikuwa mnoko sema alikuwa haongei sana maana siunajua Kiingereza tena kwenye matangazo ya asubuhi hahaha.Na Advance mwigulu nadhani alienda kitu kama mazengo au shycom.mimi nimesoma ilboru 1997-2000 bweni langu lilikuwa Hanang.kuna mtu anajua Gaki yuko wapi?jamaa alikuwa mkali kwenye kupanga hoja kamaBenjamine william Mkapa.
 
Napenda kuwaasa wana-ilboru kuachana na siasa za kishabiki ambazo zinatushushia hadhi kwani si kila anayesoma au aliyesoma ilboru anakuwa anapenda chama cha CDM ,kwanza wana ilboru wengi wako bize na shughuli za kujenga nchi yao,kusaidia wananchi wa Tanzania na familia zao na wako makini sana katika kila jambo linaloendelea wala sio wadandia hoja zisizo na mashiko kama unavyotaka kutuaminisha.ila kwa kuwa wewe unamapenzi na CDM unataka kutuaminisha Mwigulu kakosea kwa kuwa yeye ni Mwanachama wa chama cha Mapinduzi kitu ambacho si sahihi na wana-ilboru wote wapenda amani na maendeleo ya nchi yetu tunapinga kuingilia mawazo ya mtu yeyote.Mimi nilikuwa Rungwe.
 
Ok nyie iliboru mie chama linalojulikana kichwa cha tanzania,am talking about berlin! Hapo alisomeshwa kichwa namber moja wa tanzania.Pale vilaza hawapiti salama,nature eliminates them
 
Wakati najiunga ilboru 1997 mwigulu alikuwa form four nadhani na alikuwa kiranja wakati Gaki akiwa ndio kaka mkuu.Gaki alikuwa mnoko sana mpaka waalimu walikuwa wanamuogopa!Na mwigulu alikuwa mnoko sema alikuwa haongei sana maana siunajua Kiingereza tena kwenye matangazo ya asubuhi hahaha.Na Advance mwigulu nadhani alienda kitu kama mazengo au shycom.mimi nimesoma ilboru 1997-2000 bweni langu lilikuwa Hanang.kuna mtu anajua Gaki yuko wapi?jamaa alikuwa mkali kwenye kupanga hoja kamaBenjamine william Mkapa.

Dah, umenikumbusha mbali sana mkuu. Gaki ni kifupi cha Gasper Kisinza, na alikuwa na Secretary wake kipande cha mtu hivi alikuwa anaitwa Gonzi, walikuwa HGL wote hawa. Mi nlikuwa Meru house. Naskia Shembilu na mgaya wamesha danja aisee.
 
mwigulu alimaliza f.4 pale umenyeni mwaka 1997.Mwigulu alikuwa anajina sana pale umenyeni kwa unoko-pindi alipokuwa kiongozi.

Mwiguli anaamini kuwa yeye anauelewa mkubwa sana kuliko watu wengini ,hili ndilo linalomsumbua.Pale bungeni kuna mpaka Ma Chief Economist ila hata siku moja wanapojenga hoja wanatoa point na sio majivuno kama yake "Mimi ni first class Economist".Mtu mbabaishaji mara zote hujenga hoja kwa hofu akijivunia vyeti alivyonavyo ama umiliki wa material things zaidi ya content ya anachowasilisha.

Mwigulu anapoteza mwelekeo kadri siku zinavyoenda mbele.Hii ni kutokana na yeye kutokusoma alama za nyakati.

Nami pia ni mmenye nilikuwa Kibo.GAKI yupo ,nenda kwenye page ya wana Ilboru facebook utamkuta na unaweza kuwasiliana naye.
 
mimi sikuwa huko, nilikuwa kwa makamanda Tabora Boys, nachoweza kusema kwa ndugu zangu wa ilboru, kuhusu Mwigulu, "yule mtoto si rizki".
 
Shule yangu Ilboru inasifika sana...
Popote unapoenda inasifika sana.....
Haka kawimbo kaliniacha hoi enzi za Bino pale Ilboru
 
Back
Top Bottom