Mke wangu anajamba jamba sana mpaka najiuliza kulikoni

Nina mwaka wa nne sasa kwenye ndoa yangu. mimi na mke watu tuna watoto wawili. ila kuna jambo ambalo ashakum si matusi limekuwa likinipa kero sana na kuwa na maswali mengi. mke wangu anapenda kujamba....jamani acheni kabisa. yaani anajamba kwa nguvu zote na kwa kujisikia raha sana.nimejaribu kumwambia kuwa hiyo hali inanipa kero lakini wala haelewi.

na jambo hili halitegemei kala nini awe amekunywa mchemsho au chips atajamba.awe amekula maharagwe au kunde atajamba. awe amekula wali samaki atajamba. si mchana si usiku. ye muda wote ni hali hiyo. nimejaribu kuangalia sehemu yake ya haja kubwa kama pengine inaweza kuwa wazi au... sijapata uthibitisho wowote bado.

lakini nachoshangaa ni kuwa anapotaka kufanya jambo hilo huwa kabisa anajiandaa na kubinua makalio yake huku akikenua meno kana kwamba anafanya jambo la busara,raha na la kustahili sifa.yaani ana enjoy sana hilo jambo. lakini starehe yake kwa wengine ni kero... nisaidieni ana tatizo gani au nimsaidie vipi asiwe anafanya jambo hilo. too much is harmful.
Asipojamba atapata matatizo ya kiafya,alafu kama ni mnene kwa umbile hiyo ni hali ya kawaida kwa watu wanene.
Watu wanene wanajamba sana kuliko wembamba
 
Mkuu Huyo ni mkeo. Huyo ni mtu unayespend the rest of your life with. Binafsi sioni hata kama unalielewa hilo. Maana kama unamheshimu isingepata idea ya kuomba ushauri humu ukiongezea na nanukuu "nimemkagua sehemu yake ya haja kubwa" i find it hard to belive that u have what it takes to be a husband, rulling out being a father.
Huyu umemjibu vizuri sana. na umeelewa anachotaka ashauliwe
 
Members sometime inabidi kujiongeza akili...hivi kwa uelewa wako mdogo unadhan kila mtu anachoandika humu kinamtokea yeye au kinatokea familia yake?use common sense guys. Kuna mtu amewah kusikia wimbo wa mume wangu jerry? Muimbaji ni mwanaume anayeimba kwa niaba ya mwanamke. So ukiwa na akili ndogo unaweza anza kumlaumu muimbaji kuwa anatoa siri za nyumba yake.kiuhalisia yeye ni fanani anaimba kwa ajili ya kufikisha ujumbe ambao si lazima awe ametendewa yeye. Sasa kwa nini nanyi wengine mnashindwa kujiongeza kuelewa kuwa humu tupo watu wa aina tofaut tofaut na kinachoongelewa dont take it personal. Kama huna la kushauri nyamaza au pengine basi sema relevant issue...unalazimisha kuwa ni siri kuna siri gan hapo? Hakuna kitu ambacho ni siri hata kama ni kikojozi as long as humtaji ni vizuri kuomba ushauri kumsaidia.bakia kusema ni siri kumbe hata siri huzijui.
 
Watu wapo bize WATOHOA neno UKUTA, Mara sept 1 2016 ndio maana halisi ya neno UKUTA. Makanisani nako utasikia usipende kutumia akili zako utakutana na UKUTA!.....Sasa ukiamua kutumia akili yako au usitumie ni lazima ukutane na UKUTA/ SEPT 1 2016.

Hilo lako sio tatizo. baada ya kazi ngumu huwa hiyo ni ishara mojawapo
 
Nashukuru kwa ushauri wako ndugu yangu. Maana watu wenye busara na akili kama wewe mmebaki wachache sana. Wengine watakwambia tu hiyo ni siri ya ndani. Wana prove kuwa hawajui mambo ya ndoa yakoje.

Asipojamba atapata matatizo ya kiafya,alafu kama ni mnene kwa umbile hiyo ni hali ya kawaida kwa watu wanene.
Watu wanene wanajamba sana kuliko wembamba
 
Nashukuru umeonesha busara.shida kubwa humu ndani kuna form four failures wengi.wanshindwa kutumia hata common sense.nobody knows me na hata mke wangu sitaja any info kusema ni flan so ameaibika. But some people wanakuja kusema eti natoa siri za ndani...so foolish.

Na mpaka mtu analalamika ujue ni tatizo ambalo ni kero. Unajua kusikia kila wakat harufu ya ....ya mtu mwngne ni kero.imagine tu mmekaa sehem then mtu akatoa gesi uone watu wanavyoziba pua na kutema mate.

Angekuwa kataja jina la mkewe sawa angeweza kuzodolewa Lakin jamaa kwake anaona si kawaida ndio maana kaleta jamvini apate ushauri, but 99% majibu ni dhihaka na utoto. Nakushauri waone wataalam wa afya maana kila kitu kikizidi inakuwa kuna walakin
 
Members sometime inabidi kujiongeza akili...hivi kwa uelewa wako mdogo unadhan kila mtu anachoandika humu kinamtokea yeye au kinatokea familia yake?use common sense guys. Kuna mtu amewah kusikia wimbo wa mume wangu jerry? Muimbaji ni mwanaume anayeimba kwa niaba ya mwanamke. So ukiwa na akili ndogo unaweza anza kumlaumu muimbaji kuwa anatoa siri za nyumba yake.kiuhalisia yeye ni fanani anaimba kwa ajili ya kufikisha ujumbe ambao si lazima awe ametendewa yeye. Sasa kwa nini nanyi wengine mnashindwa kujiongeza kuelewa kuwa humu tupo watu wa aina tofaut tofaut na kinachoongelewa dont take it personal. Kama huna la kushauri nyamaza au pengine basi sema relevant issue...unalazimisha kuwa ni siri kuna siri gan hapo? Hakuna kitu ambacho ni siri hata kama ni kikojozi as long as humtaji ni vizuri kuomba ushauri kumsaidia.bakia kusema ni siri kumbe hata siri huzijui.

QUOTE="juvenile davis, post: 17375612, member: 284350"]Siri za ndani hizo[/QUOTE]
Mambo mengine yandani ni kumalizana ninyi wawili siyooo kuyaanikaa hadharani Mkuu
 
Members sometime inabidi kujiongeza akili...hivi kwa uelewa wako mdogo unadhan kila mtu anachoandika humu kinamtokea yeye au kinatokea familia yake?use common sense guys. Kuna mtu amewah kusikia wimbo wa mume wangu jerry? Muimbaji ni mwanaume anayeimba kwa niaba ya mwanamke. So ukiwa na akili ndogo unaweza anza kumlaumu muimbaji kuwa anatoa siri za nyumba yake.kiuhalisia yeye ni fanani anaimba kwa ajili ya kufikisha ujumbe ambao si lazima awe ametendewa yeye. Sasa kwa nini nanyi wengine mnashindwa kujiongeza kuelewa kuwa humu tupo watu wa aina tofaut tofaut na kinachoongelewa dont take it personal. Kama huna la kushauri nyamaza au pengine basi sema relevant issue...unalazimisha kuwa ni siri kuna siri gan hapo? Hakuna kitu ambacho ni siri hata kama ni kikojozi as long as humtaji ni vizuri kuomba ushauri kumsaidia.bakia kusema ni siri kumbe hata siri huzijui.

Siri za ndani hizo
 
You are the boy who cried wolf
 
Mbona za kujambajamba zimekuwa nyingi siku hizi?
1472328503391.jpg
 
Members sometime inabidi kujiongeza akili...hivi kwa uelewa wako mdogo unadhan kila mtu anachoandika humu kinamtokea yeye au kinatokea familia yake?use common sense guys. Kuna mtu amewah kusikia wimbo wa mume wangu jerry? Muimbaji ni mwanaume anayeimba kwa niaba ya mwanamke. So ukiwa na akili ndogo unaweza anza kumlaumu muimbaji kuwa anatoa siri za nyumba yake.kiuhalisia yeye ni fanani anaimba kwa ajili ya kufikisha ujumbe ambao si lazima awe ametendewa yeye. Sasa kwa nini nanyi wengine mnashindwa kujiongeza kuelewa kuwa humu tupo watu wa aina tofaut tofaut na kinachoongelewa dont take it personal. Kama huna la kushauri nyamaza au pengine basi sema relevant issue...unalazimisha kuwa ni siri kuna siri gan hapo? Hakuna kitu ambacho ni siri hata kama ni kikojozi as long as humtaji ni vizuri kuomba ushauri kumsaidia.bakia kusema ni siri kumbe hata siri huzijui.
stop crying boy,
 
Back
Top Bottom