Mke wangu anajamba jamba sana mpaka najiuliza kulikoni

Sodoku

JF-Expert Member
Feb 3, 2016
1,095
2,429
Nina mwaka wa nne sasa kwenye ndoa yangu. Mimi na mke wangu tuna watoto wawili, ila kuna jambo ambalo ashakum si matusi limekuwa likinipa kero sana na kuwa na maswali mengi. Mke wangu anapenda kujamba, jamani acheni kabisa, yaani anajamba kwa nguvu zote na kwa kujisikia raha sana, nimejaribu kumwambia kuwa hiyo hali inanipa kero lakini wala haelewi.

Jambo hili halitegemei kala nini. Awe amekunywa mchemsho au chips atajamba. Awe amekula maharagwe au kunde atajamba. Awe amekula wali samaki atajamba, si mchana si usiku, ye muda wote ni hali hiyo. Nimejaribu kuangalia sehemu yake ya haja kubwa kama pengine inaweza kuwa wazi au sijapata uthibitisho wowote bado.

Lakini nachoshangaa ni kuwa anapotaka kufanya jambo hilo huwa kabisa anajiandaa na kubinua makalio yake huku akikenua meno kana kwamba anafanya jambo la busara, raha na la kustahili sifa. Yaani anaenjoy sana hilo jambo, lakini starehe yake kwa wengine ni kero. Nisaidieni ana tatizo gani au nimsaidie vipi asiwe anafanya jambo hilo, too much is harmful.
 
Sodoku,
Mkuu Huyo ni mkeo. Huyo ni mtu unayespend the rest of your life with. Binafsi sioni hata kama unalielewa hilo. Maana kama unamheshimu isingepata idea ya kuomba ushauri humu ukiongezea na nanukuu "nimemkagua sehemu yake ya haja kubwa" i find it hard to belive that u have what it takes to be a husband, rulling out being a father.
 
Back
Top Bottom