Wahusika Katika shughuli nzima ya NECTA

Mkuu umesahau kuwa Kilinjiko iko Kilimanjaro na sifa ya mkoa huo kiakili inajulikana, wamezoa kusoma kwa tabu na kutumia ufahamu kwa mambo ya kujiendeleza. Kule Kilimanjaro hakuna kudekea elimu, wao wanaitafuta kwa kuwa walishajua kupitia maneno ya Mungu kuwa "Ikamateni sana Elimu.....). Nyie Quran inasemaje kuhusu elimu dunia?

Asante kwa kunikumbusha kuwa Kilinjiko iko Kilimanjaro, so nafikiri basi seminari zote za kiislam ziangalie Kilinjiko imewezaje kukwepa panga la Ndalichako kama kweli lipo! Kuhusu Quran tukufu inasema nini juu ya elim duni, ni kuwa Quran haikubagua elimu , Muhamad ( rehema za mwenyezi Mungu ziwe juu yake), alipokuwa anapewa utume kitu cha kwanza aliambiwa" IQRA" yaani "SOMA", hakuambiwa "SOMA QURAN" la hasha aliambiwa soma, na kwa tafsiri yake ni kuwa asome kila kitu kwa kilatini wanasema"DOCEBIT VOS OMNIA", na ndio maana nae aliwakumbusha waislamu kwa kuwaambia" Itafuteni Elimu hata kama ni Uchina", na ushahidi wa kuwa Waislam wa Mwanzo enzi za Muhamad walikuwa wasomi wazuri, angalia historia ya tiba hasa katika nchi za Hispania na Ulaya kwa ujumla wake, angalia pia Chuo Kikuu cha kwanza Afrika kilijengwa kule Ghana na mtawala wao aliye itwa Mansa Kankan Mussa, huyu alijenga chuo hiki baada ya kutoka kuhiji Makka na alijionea muamko wa elimu kule! ndio maana mimi nashangaa haya yanayoendelea hapa!
 
Mungu akubariki sana. Waje wasome hapa na wafunge mjadala. Uwe na usingizi wa amani leo. Nimefurahi sana kwa ufafanuzi huu.
 
Hawa ndio wanaohusika na kutengeneza Mitihani, kuteua watunzi wa mitihani na kuchagua wasahihishaji.

s/n
SOMO
WARATIBU WAKRISTO
WARATIBU WAISLAMU
JUMLA
1
UALIMU
5
2
7
2
HISTORY
2
2
3
GEOGRAPHY
1
1
4
BIOLOGY
2
2
5
ENGLISH
2
2
6
PHYSICS
1
1
2
7
CHEMISTRY
3
3
8
KISWAHILI
1
1
2
9
MATHS
3
3
10
BIASHARA
1
1
11
UFUNDI
4
3
7
12
MAPISHI
1
1
13
CIVICS
2
1
3

Lazima tubadilishe hali hii. Edwin Mtei kasema maamuzi ya mtu huathiriwa na Imani yake. Hivi waislamu watapona kweli.
Wakuu wa Idara Wapo Watano.

  1. Kitali –Mkristo
  2. Mafie- Mkristo
  3. Mbowe- Mkristo
  4. Haule- Mkristo
  5. Salim- Mwislamu

Mkurugenzi – Ndalichako – Mkristo
Mkurugenzi Msaidizi- Jina Limenitoka- Mkristo.

Hata ukisikia wanadai kosa lilikuwa la kibinadamu la kuficha alama za waislamu, kwa mtazamo wangu naona hawa ni waongo.
Haya wanajf kolezeni ili kuleta utengamano nchini. Changie kwa uangarifu na uerewa sana

Muulize huyo mtahiniwa katika karatasi ya kujibia hua anaambiwa ajaze DINI, JINA au NUMBER YA MTIHANI? Do not seek to justify your failures with igorant ways. Husomi utafeli, short and clear..........
 
mkurugenzi – ndalichako – mkristo
mkurugenzi msaidizi- jina limenitoka- mkristo.

Hata ukisikia wanadai kosa lilikuwa la kibinadamu la kuficha alama za waislamu, kwa mtazamo wangu naona hawa ni waongo.
Haya wanajf kolezeni ili kuleta utengamano nchini. Changie kwa uangarifu na uerewa sana

huyo lazima atakuwa mmakonde
 
Hawa ndio wanaohusika na kutengeneza Mitihani, kuteua watunzi wa mitihani na kuchagua wasahihishaji.

s/nSOMOWARATIBU WAKRISTOWARATIBU WAISLAMUJUMLA
1UALIMU527
2HISTORY202
3GEOGRAPHY101
4BIOLOGY202
5ENGLISH202
6PHYSICS112
7CHEMISTRY303
8KISWAHILI112
9MATHS303
10BIASHARA011
11UFUNDI437
12MAPISHI101
13CIVICS213

Lazima tubadilishe hali hii. Edwin Mtei kasema maamuzi ya mtu huathiriwa na Imani yake. Hivi waislamu watapona kweli.
Wakuu wa Idara Wapo Watano.

  1. Kitali –Mkristo
  2. Mafie- Mkristo
  3. Mbowe- Mkristo
  4. Haule- Mkristo
  5. Salim- Mwislamu

Mkurugenzi – Ndalichako – Mkristo
Mkurugenzi Msaidizi- Jina Limenitoka- Mkristo.

Hata ukisikia wanadai kosa lilikuwa la kibinadamu la kuficha alama za waislamu, kwa mtazamo wangu naona hawa ni waongo.
Haya wanajf kolezeni ili kuleta utengamano nchini. Changie kwa uangarifu na uerewa sana

Ndalichako kama huwa unaingia humu....hii kansa (kiogopeni) ipo ndani yenu na msipoifanyia opereshen na kuiondoa itawatafuna.....
 
nimesoma na waislam sikuona tofauti kabisa na wao na kila mtu alikuwa anaheshimu imani yake ila humu Jf sijui nani analeta mambo ya kibaguzi kuhusu dini.
 
Back
Top Bottom