Wahuni wamchoma sindano ya sumu kada wa CCM

mkuu swala la usalama wa wazazi wetu na ndugu zetu kule Vunjo si la kufanyia mchezo hata kidogo .Embu fikiria kuwa ni ndugu yako ndie aliejeruhiwa

mbona unajibu tofauti na swali uliloulizwa!?? Kiswahili kigumu au hakieleweki?
 
mkuu swala la usalama wa wazazi wetu na ndugu zetu kule Vunjo si la kufanyia mchezo hata kidogo .Embu fikiria kuwa ni ndugu yako ndie aliejeruhiwa

swala la usalama ni kweli la kuweka mbele lakini mleta mada amekosea kutanguliza kuwa jama wa ccm kajeruhiwa ndo akaona umuhimu wa kuanzisha mchango wa kituo cha polisi kwani kabla ya hapo hakuna raia waliojeruhiwa eneo hilo??? au wao hawakuwa na muhimu wowote.

pili wafanyakazi tunalipa kodi kupwa mno muwemnatuhurumia jamani kwa michango kama hii kwani mbunge wenu asiombe pesa kupitia bajeti, wizalani kutoka katika hela yetu ya kodi??
 
mOJA NA MARADHI MAKUBWA HAPA NCHINI NI CCM NA POLICE. WEWE UNAWATAKA NYUMBANI KWAKO? HALAFU KAMA POLICE NI MBWA WA MAGAMBA, WAFANYE UCHUNGUZI MWISHO WATAJIKUTA WENYEWE.
 
Wangemkata na kichwa kabisa akafa, ili mwehu kova asipate kazi kubwa ya intelejensia...
 
mOJA NA MARADHI MAKUBWA HAPA NCHINI NI CCM NA POLICE. WEWE UNAWATAKA NYUMBANI KWAKO? HALAFU KAMA POLICE NI MBWA WA MAGAMBA, WAFANYE UCHUNGUZI MWISHO WATAJIKUTA WENYEWE.

polisi ni kama bata wanaotaga mayai baada ya kulazimishwa kulala na madume (watawala)na baadae huchinjwa na hao hao watawala .ona ni nani asiyefahamu ya kwamba katika wafanyakazi wanaoongoza nakuwa na njaa ni polisi. Watawala wanawafanya polisi kama pakutolea NYEGE katika nyumba ndogo huku wakifanya MAHAKAMA ndoa kubwa ambako nipakuanzisha NYEGE. Haya, polisi kama BATA ANAYETAKA KUTAGA MAYAI ya watawala huangaika mwenyewe baada ya kubakwa kwa kitamanio(rushwa) cha watawala. Watawala haohao baadae huwachinja kwa kisu cha MASLAHI HAFIFU. polisi jamani mngejua mnadharirishwa na watawala msinge thubutu kuwapiga raia. Tamko langu:OMBA HIZO PESA KWA WAUME zao CCM ndoo wanaohusika na mayai yao ya KUJENGEWA KITUO!!
 
mkuu swala la usalama wa wazazi wetu na ndugu zetu kule Vunjo si la kufanyia mchezo hata kidogo .Embu fikiria kuwa ni ndugu yako ndie aliejeruhiwa
Nani alisema Polisi wa Tanzania wako kulinda raia?
Kazi kuu ya polisi wa Tanzania kwa sasa ni kupambana na CHADEMA.
 
Kwa jinsi wanaCCM wanavyowindana wenyewe kwa wenyewe, usishangae hata huyu wabaya wake ndani ya CCM ndio wanaohusika kama tunayosikia huko Nzega kuanzia kugawa vitumbua,maandazi,chai na pesa kisha yakafuata kutishiana kupigana kwa bunduki mwisho yatafuata ya ushirikina.

Magamba tumewachoka kuliko kuchangia ujenzi wa kituo cha polisi ni bora tuchangie M4C ili ukombozi wa nchi ufike mapema.
 
Muogopeni Mwenyezi Mungu kama mapema hivi mnatwangana sindano za sumu wenyewe kwa wenyewe je, muda wa hukumu utakapofika si mtanyonyana damu hadharani.Tuliwashangaa Wakenya kumbe nasi tunanukiwa na hao MAPEPO wa siasa chafu. Kazi kwenu Waamini muendelee kukesha kwa kumshtakia Mwenyezi Mungu vinginevyo hii nchi haitatutosha.
 
Back
Top Bottom