wahuni walitaka wenye viford wagome

Zhu

Senior Member
Sep 26, 2010
184
24
kwa maelezo ya mkuu wa usafiri wa daladala AR amesema huo ulikuwa si mpango wa wenye magari. Amesema ni wahuni tu waliotaka kuleta fojo hizo ambazo ni za kisiasa zaidi. Haya ni maigizo.
 
Kumbe ni wahuni mimi nilidhani CDM ndio wamegoma...
 
Kwa taarifa kutoka wapo radio mgomo ulikuwepo na hadi mabomu yalipigwa AR
 
naam wamesema ni wahuni tu walikuwa wakiwashinikiza madereva wagome! Ati nchi isitawalike! Ati arusha ndio benghazi ya tanzania! Hakuna cha benghazi wala nini. watawala hakikisheni nchi inatawalika kuanzia arusha, mara, mbeya hadi newala!
 
Sasa kama Wahuni ndio walitaka wenye Daladala wagome,mbona wenye daladala walikubali huku wakitambua ni wahuni ndio wamewataka kugoma?
 
Back
Top Bottom