Wahitimu wa Ualimu Tumaini University, Makumira kutokupangiwa vituo vya Kazi na Ajira. Kulikoni???

Baba Dorcas

Member
Jan 15, 2012
83
5
Ndugu wadau mlioko jikoni, naomba kuuliza ni kwa nini hamjawapangia vituo walimu waliomaliza shahada ya Elimu katika Chuo Kikuu Cha Tumaini tawi la Makumira? Nimejaribu kufungua files zote hakuna mwanachuo aliyemaliza makumira kapangiwa kituo. In short hakuna jina la Makumira kwenye orodha ya vyuo. Kulikoni Moevt pamoja na wizara ya Ajira mna mpango gani na vijana hawa???? Au ni wenge langu la kutokujua kutumia mtandao?
 
Ndo mana nkataka nisaidiwe kuangalia coz nina ubovu wa macho! Kwa kuangalia kwangu ni kama hayapo na kama wapo hawazidi 10.
 
Chuo cha wachungaji watapangiwaje Islamic School jamani? ili wakauwe uislamu?wabadili vision yao kwanza maana wanasema they building the churh of God

Kama una mchango nyamaza!!!!!!!! Islamic school au .............. Maana ndio wamejaa pamoja na wafanyakazi. Watu tuna fully takwimu atushabikii ila tunahitaji amani na upendo katika hii nchi.
 
Ni kweli wengi wa Makumira hawajapewa posti ila soon watapewa, wengine wa Makumira wapo mfano angalia kwenye orodha na 2181 huyo ni mwalimu kahitimu Makumiraa na kapangaiwa Arusha vijijini. Hata mwaka jana kuna watu walisaharika na wengine walikuwa hajacrear baadhi ya mambo yao kwa kuwa na incomplite na mengineyo, subirini muda wowote
 
ndugu wadau mlioko jikoni, naomba kuuliza ni kwa nini hamjawapangia vituo walimu waliomaliza shahada ya elimu katika chuo kikuu cha tumaini tawi la makumira? Nimejaribu kufungua files zote hakuna mwanachuo aliyemaliza makumira kapangiwa kituo. In short hakuna jina la makumira kwenye orodha ya vyuo. Kulikoni moevt pamoja na wizara ya ajira mna mpango gani na vijana hawa???? Au ni wenge langu la kutokujua kutumia mtandao?

tatizo la tumaini university zote ni ubovu wa elimu.
Mfano ni tumaini iringa wanafunzi wengine hata class hawaingii,akijaziwa incomplete na lecturer siku results zinatoka utakuta kapata "a". Walimu wanabaki kushangaa.

Vyuo vya tumaini vinatoa vyeti tu havina lolote ndo mana waliodisco mzumbe,udsm na sua wanakimbilia tumaini iringa au makumira, at last wanatoka na "first class".
 
Hebu muulize anayehusika kufikisha majina yenu wizarani kama alifikisha ndiyo ulalamike mf:wa makumira aliulizwa akasema hakuyapeleka sababu hana,hebu fuatilia tumaini.
 
JAMAN ACHENI USHABIKI KWENYE SWALA LA MSINGI KAMA HILI KWANI NI KWELI MAJINA HAYAJATOKA NA MPAKA SASA HATUJAJUWA TATIZO NI NINI HIVYO TUSIKURUPUKE KUPELEKA LAWAMA KWA SABABU HATUJUI TATIZO LIKO WAPI NA NANI WAKULAUMIWA CHA MSINGI TUWAOMBE WAHUSIKA (WAHITIMU) WAJARIBU KULIFUATILIA SWALA HILI KWA KINA NA KISHA KUPATA MAJIBU SAHIHI ILI TUONE NI HATUA GANI INAFUATA KATIKA KUMALIZA SWALA HILI NI SWALA LA KUSEMA CHUO HAKINA UBORA KWANI NI VIGEZO VIPI MNATUMIA KUPIMA UBORA WA CHUO NA ELIMU INAYOTOLEWA?:embarassed2::embarassed2:
 
Chuo cha wachungaji watapangiwaje Islamic School jamani? ili wakauwe uislamu?wabadili vision yao kwanza maana wanasema they building the churh of God
Duh lugha za watu hizi... dhambi ya udini imekufanya usahau hata kuandika vizuri
 
Wewe unaesema islamic school umechemsha nchi yetu haina dini ila wewe una dini.
 
Back
Top Bottom