Wahisani wanatufanya kitu mbaya mno

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Baada ya kutafakari karibu kwa robo ya maisha yangu,nimegundua kuwa maendeleo ya nchi kama Tanzania hayatakuja ikiwa tutaendelea kuhisaniwa kwa kiwango kilichopo.Viongozi wetu wanajisahau mno.Si wana uhakika kuwa kuna mtu atatoa fedha? Wahisani wangetuacha kidogo tujipime uwezo wetu.Changamoto tutakazozipata zitatufanya tuwe na adabu na hehima kwa kila mmoja.Viongozi watakuwa wabunifu na wachapakazi tafauti na sasa ambapo wao ni wafanya anasa wakubwa! Wahisani watuache kwanza.Watuache tujishikishe na tushikishane adabu.Kipato chetu tunacho,misaada ya nini sasa? Amini nawaambia,haitaendelea nchi hii hadi tutakapotalikiwa na Wahisani!
 
its true man,huu ujinga nchi maskini viongozi wanatembelea magari ya mamilioni ya shilingi,huu si utani na maendeleo ya nchi?
 
misaada ikikatwa wataamia kwa wewe mwananchi ushingae kodi ikawa 50%!!

utajuta
 
Wahisani wapi watuache?
Unaongelea hawa wanaochimba madini Geita, North Mara, Resolute et al?
Hawawezi kufanya kosa la kuacha kusapoti bajeti yetu, maana wanafaidika mara 70 ya wanachotoa!
Kutoa kwao msaada kunaandamana na 'Mkono Uliofichama'...
Cant you think mtu anaruhusiwa kujenga kiwanja cha ndege eneo la machimbo ili aondoke moja kwa moja na maadini hadi kwao...!!
Hata ungekuwa ni wewwe utaacha kutoa bilioni 5 kwenye bajeti ya watu wa hivo?
 
Baada ya kutafakari karibu kwa robo ya maisha yangu,nimegundua kuwa maendeleo ya nchi kama Tanzania hayatakuja ikiwa tutaendelea kuhisaniwa kwa kiwango kilichopo.Viongozi wetu wanajisahau mno.Si wana uhakika kuwa kuna mtu atatoa fedha? Wahisani wangetuacha kidogo tujipime uwezo wetu.Changamoto tutakazozipata zitatufanya tuwe na adabu na hehima kwa kila mmoja.Viongozi watakuwa wabunifu na wachapakazi tafauti na sasa ambapo wao ni wafanya anasa wakubwa! Wahisani watuache kwanza.Watuache tujishikishe na tushikishane adabu.Kipato chetu tunacho,misaada ya nini sasa? Amini nawaambia,haitaendelea nchi hii hadi tutakapotalikiwa na Wahisani!
Naunga mkono hoja, wahisani waondoke, hawa ni wanyonyaji tu hamna lolote. lakini nasisi pia tutapata akili za kutafuta njia mbadala kupitia vyanzo vyetu vilivyo natija.
 
Baada ya kutafakari karibu kwa robo ya maisha yangu,nimegundua kuwa maendeleo ya nchi kama Tanzania hayatakuja ikiwa tutaendelea kuhisaniwa kwa kiwango kilichopo.Viongozi wetu wanajisahau mno.Si wana uhakika kuwa kuna mtu atatoa fedha? Wahisani wangetuacha kidogo tujipime uwezo wetu.Changamoto tutakazozipata zitatufanya tuwe na adabu na hehima kwa kila mmoja.Viongozi watakuwa wabunifu na wachapakazi tafauti na sasa ambapo wao ni wafanya anasa wakubwa! Wahisani watuache kwanza.Watuache tujishikishe na tushikishane adabu.Kipato chetu tunacho,misaada ya nini sasa? Amini nawaambia,haitaendelea nchi hii hadi tutakapotalikiwa na Wahisani!

Ni kweli mkuu. Vichwa huwa vinapasuka umaskini ukiandama.
Hata Kibaki alikataa uhisani alipochukua Kenya. Huu upuuzi wa kujikomba na kupigana kwa sababu ya UDINI na Ukabila vitaisha. Shida zinaleta solidarity.
 
Back
Top Bottom