Wahisani:Bajeti tuliyopewa ni tofauti na ile iliyosomwa Bungeni

Hii siyo aibu ya Mkulo aliye una unga elimu kwenye vyuo visivyo tambulika kimataifa, HII NI AIBU YA VASCO da GAMA-JK Mzee wa SAFARI
 
Wakiondoa fungu lao tutaweza kulipa Dowans? Au unataka nchi ipigwe mnada, usishangae mikoa ya Arusha, Mara na Kilimanjaro zikaangukia Kenya kama nchi itafilisiwa.

Natamani nchi ipigwe huo mnada na Isimani iangukie Brunei au japan mnisamee
 
Tuta la barabarani linajengwa kwa tsh 40millions!halafu linavunjwa ikiwa rais atapita!jamani tuendelee tuu kuwavumilia?
 
kwa hili mkulo ajiuzulu , mtu mzima kudanganya c issue ila ukibainika ni noma , ajiuzulu c ni yeye aliyeiwasilisha imf na bungeni . Ila kabla ya kutwambia ameonewa sana amefadhaika sana atuambie ipi original na ipi kanyaboya .

Je Mtoto wa Mkulima kesha mwita waziri wa fedha ofisini kwake ajieleze au Je mtoto wa Mkulima kali tolea tamko suala hili kwa wananchi na wahisani?
 
Jamani enyi viongozi mbona hamna huruma na Nchi hii? Ni wapi mnapotupeleka? Kweli kwa mambo hayo mnayofanya mnafanya waTanzania wenzenu tusiaminike kwenye uwanja wa kimataifa
 
Hivi hii ilifanyika kwa makusudi au kwa bahati mbaya au kwa Uzembe? Kama ni kwa uzembe, kwanini Mkullo asiujuzulu? Kama ni kwa makusudi, haibu kubwa kwa serikali ya Kikwete!!! Ninaanza kuamini kwamba mambo yanaendeshwa kisanii sanii !!!!

Tiba

Unategemea nini usanii unapokuwa unaongozwa na mkuu wa kaya!lazima nchi yote iwe ya kisanii inawezekana wewe bwana Tiba ni msanii bila kujua ,ogopa kitu kinachoitwa OMBWELA UONGOZI,KINACHOFUTA BAADA YA USANII KUTAMALAKI IN DHAHAMA!
 
KUNDI la wahisani wanaochangia bajeti kuu ya Tanzania (GBS) limeibua kashfa baada ya kueleza kuwa serikali iliwapelekea bajeti tofauti na ile iliyopitishwa na Bunge Julai mwaka huu.Taarifa za kashfa hiyo ziliwekwa hadharani jana asubuhi na mwenyekiti wa wahisani hao, Svein Baera wa Sweden katika mkutano wa kitaifa wa mwaka wa majadiliano ya kisera na bajeti uliofanyika jijini Dar es salaam.
Source: Mwananchi - Tuesday, 07 December 2010

Waungwana hii imekaaje????

Hii inaonyesha hata kwa wahisani kuna akina Dr. Slaa kibao ambao ni wataalam wakusoma na kulinganisha taarifa za serikali! Sijui huko bungeni kama tutampata Dr. Slaa mwingine wa kugundua upotoshwaji wa makusidi unaofanya na serikali. Kumbuka sheria gharama za uchaguzi!
 
Hii ndio BONGO bwana wengine mtaishia kunawa tu.
Hata hivo wanaoitwa wahisani lazima tuwafanyizie ili waturudishie pesa zetu kama fidia kwa kutufanya watumwa na kutukoloni.Au mnasemaje wazee!
 
Back
Top Bottom