Wahindi wanamtumia Sabodo kujiweka karibu na Chadema

Ukweli upo ambao hauitaji itikadi kuhuelewa. Je, mbona mwanzoni hatukuwaona wakiunga mkono vyama vya upinzani. Tatizo letu sisi ngozi nyeusi kila kitu tunadhani ni siasa tu. Unadhani huyo jamaa hana ambaye ni mfanyabiashara hanatoa pesa bila kuwa na malengo.
Hebu hangalia kwenye suala la kujaza dodoso la NHC halivyokuwa mkali ilihali hayo maswali tuliyajibu tulipokuwa tunaomba mkopo HESLB na hakuna haliyesema ni ya kibaguzi ila wao.

mbona hatoi kwa nccr au tlp?tufungue macho wahindi sio wenzetu
 
Tatizo lako umetanguliza hisia mbele ukasahau akili nyuma, usipende kutuaminisha hizi hisia za kipumbavu kama hizi
 
Acheni ubaguzi hapa, lugha inayotakiwa ni kupinga ufisadi, na Mwl. alisema ubaguzi ni kama kula nyama ya mtu mkiaanza hamtaacha hadi mmalizane, mkitoka kwa wahindi mtakuja wachaga, wahaya n.k hadi ndani ya familia tutamalizana.
 
mkuu unajua shidayetu kubwa watanzania ni wavivu wa kufikiri,halafu tuna uwezo mdogo wa kuelewa,hilo dunia nzima inalifaham

Ndugu yangu kusema kwamba watanzania ni wavivu wa kufikiri hapo hujatenda haki,hakuna nchi au taifa lenye watu wenye mawazo yanayofanana hata kufikiri ni tofauti.Hapa Tz kuna watu wazuri sana pia wapo wenye mtindio wa ubongo kama ulivyo wewe.Wala si kosa la utanzania hata ulaya kuna watu wa aina yako wengi tu.Naomba ufute kauli yako:shock:
 
Wakuu kuna taarifa tumezipata muda si mrefu,Wahindi wanamtumia yule Mzee anaitwa Sabodo kutoa misaada ya hela ili kujivuta karibu na Chadema kwa sababu wameona dalili za Watanzania kuwapa Chadema madaraka siku zijazo.

Wahindi ambao wengi wao hawapendwi na Watanzania waliamua kumpa jukumu hilo Sabodo eti kwa sababu yeye ndiye msafi kuliko Wahindi wote
kilichowafanya kuchukua uamuzi huo ni woga iwapo Chadema itachukua madaraka future yao haionekani,wanachofanya ni kuwaweka Chadema sawa ili wakichukuwa madaraka waendelee na uhusiano kama walio na kwa ccm.

swali letu kwa chadema je mnalijua hilo?

kama mnalijua je ni sawa kuendelea kupokea hela za hawa wahindi?

je kesho mkikamata madaraka mtaweza kweli kupambana na rushwa na uovu unaofanywa na hawa wahindi?

Labda ungeanza kwa kujiuliza, je habari yako inauhakika kiasi gani?

Baada ya hapo inakuwa rahisi kupata majibu ya maswali uliyouliza.
 
Chama tawala kilianza kama ninyi cdm.Mkipata serikali hamtajinasua, na ufisadi uataendelea kama walivyo wajomba zetu ccm. CCM walianza na wakulima na wafanyakazi walipoingia watu wa kazi na kupokea misaada haikuishia hapo, waliingia ndani na leo wote tu mashaidi CCM inavurugwa na watoa misaada.Tujiulize kwa pamoja misaada mikubwa kama hii nyuma ya pazia kunani.Don't focus today focus on 5 years time from today.Haya!
 
Mleta Mada ama hajui alisemalo au ni magamba ambaye hajui kufikiri sawasawa.
 
Wakuu kuna taarifa tumezipata muda si mrefu,Wahindi wanamtumia yule Mzee anaitwa Sabodo kutoa misaada ya hela ili kujivuta karibu na Chadema kwa sababu wameona dalili za Watanzania kuwapa Chadema madaraka siku zijazo.

Wahindi ambao wengi wao hawapendwi na Watanzania waliamua kumpa jukumu hilo Sabodo eti kwa sababu yeye ndiye msafi kuliko Wahindi wote
kilichowafanya kuchukua uamuzi huo ni woga iwapo Chadema itachukua madaraka future yao haionekani,wanachofanya ni kuwaweka Chadema sawa ili wakichukuwa madaraka waendelee na uhusiano kama walio na kwa ccm.

swali letu kwa chadema je mnalijua hilo?

kama mnalijua je ni sawa kuendelea kupokea hela za hawa wahindi?

je kesho mkikamata madaraka mtaweza kweli kupambana na rushwa na uovu unaofanywa na hawa wahindi?

Hapo pekundu ndipo wengi wanakuona una uji.n.ga fulani katika masaburi yako, chadema haina sera na hawajawahi kusema haiwataki wahindi wala wageni nchini ila kwa maslahi ya Tanzania na Watanzani wote, CDM haijawahi kuwa na sera ya kibaguzi dhidi ya wahindi au watanzania ambao hawana asili ya kiafrika. CDM inapiga vita wizi na ufisadi wa mali na rasilimali za Watanzania, inapiga vita mfumo unaolinda maslahi ya wachache, inapinga mikataba ya wizi inayoligharimu taifa na watanzania kwa ujumla bila kujali nani mwenye mkataba au biashara fulani ni mtanzania wa namna gani au ni mwekezaji wa nje haijalishi. Sasa kama wewe Sabodo ni msafi unataka CDM imfanyeje ni Mtanzania sawa na wewe na mimi haina tofauti kwani ni Watanzania wangapi wameichangia chadema au wote ni wahindi hao? Acha tabia za kibaguzi na roho zilizojaa ukabila usio na tija!!. Hata kama wewe ni Mtanzania mweusi au mweupe au mwekundu au wa njano, rangi yako haijalishi kitu ili mradi una uadilifu na unaheshimu maslahi ya umma na rasilimali zake basi, CDM haiangalii rangi yako au umetoka wapi!!
 
Wewe jamaa ndio hamnazo kabisa....hovyooooooo!!

Tatizo lenu waafrika hajui kusoma alama za nyakati. No wonder mambo ya akina Bgabo, Gadaffi, Mubarak yatawakuta viongozi wengi wa Afrika kwa kuwa hawaamini mpaka waone yanatokea. Wote ni akina Thomas!!!
 
Back
Top Bottom