Wahindi wanamtumia Sabodo kujiweka karibu na Chadema

Ukweli upo ambao hauitaji itikadi kuhuelewa. Je, mbona mwanzoni hatukuwaona wakiunga mkono vyama vya upinzani. Tatizo letu sisi ngozi nyeusi kila kitu tunadhani ni siasa tu. Unadhani huyo jamaa hana ambaye ni mfanyabiashara hanatoa pesa bila kuwa na malengo.
Hebu hangalia kwenye suala la kujaza dodoso la NHC halivyokuwa mkali ilihali hayo maswali tuliyajibu tulipokuwa tunaomba mkopo HESLB na hakuna haliyesema ni ya kibaguzi ila wao.
 
Kama siyo mafisadi kwanini wawe na wasiwasi? Dawa siyo kuwapa Chadema pesa, dawa ni kuacha ufisadi. Hakuna anayewachukia wahindi kwa sababu ya uhindi wao, watu wanachukia ufisadi.

Hata aibu hujickii kuandik hayo?Ama uko tikatika? UFISADI WA WAHINDI UNATOKA KWA NANI KAMA C CCM? Nenda kapige soga zako huko hao MAGAMBA biashara zao wamewapa Wahindi waziendeshe ili kijificha, nani hajui? UFISADI WA MAGAMBA HAJAUONA?
 
Hata kama wanamchangia hela Sabodo, haiwasaidii lolote kwani atakayepona ni Sabodo na wengine wachache. Hao wasio wasafi wanapoteza tu hela zao, better wangezitunza kwa ajili ya nauli zao.
 
Wahindi ni wajanja bana,they never ever put all their eggs in one basket...
 
Hata aibu hujickii kuandik hayo?Ama uko tikatika? UFISADI WA WAHINDI UNATOKA KWA NANI KAMA C CCM? Nenda kapige soga zako huko hao MAGAMBA biashara zao wamewapa Wahindi waziendeshe ili kijificha, nani hajui? UFISADI WA MAGAMBA HAJAUONA?

Watu wengine huwa mnachangia tu bila kusoma na kuelewa kilichoandikwa nini??
 
Mtu mwenye akili timamu hawezi kujudge credibility ya Mzee Sabodo...
Tuna kazi kuubwa ya kuwashughulikia mafisadi wachafu , mzee huyu hapaswi kujadiliwa hapa, maana ni Mhindi pekee ninayemtambua mwenye moyo safi
 
CDM bana, Mdosi kawapa vijisenti ndio mnamuona mtu safi. Hizi njaa mbaya sana
 
wakuu kuna taarifa tumezipata muda si mrefu,wahindi wanamtumia yule mzee anaitwa sabodo kutoa misaada ya hela ili kujivuta karibu na chadema kwa sababu wameona dalili za watanzania kuwapa chadema madaraka siku zijazo.

Wahindi ambao wengi wao hawapendwi na watanzania waliamua kumpa jukumu hilo sabodo eti kwa sababu yeye ndiye msafi kuliko wahindi wote
kilichowafanya kuchukua uamuzi huo ni woga iwapo chadema itachukua madaraka future yao haionekani,wanachofanya ni kuwaweka chadema sawa ili wakichukuwa madaraka waendelee na uhusiano kama walio na kwa ccm.

Swali letu kwa chadema je mnalijua hilo?

Kama mnalijua je ni sawa kuendelea kupokea hela za hawa wahindi?

je kesho mkikamata madaraka mtaweza kweli kupambana na rushwa na uovu unaofanywa na hawa wahindi?

ondoa upuuzi wako,mbona hata serikali inapokea misaada!
 
Sabodo sio mjinga atoe pesa zake hovyo wakati ndugu zao India walala nje...kuna kitu wanatafuta ndani ya Chadema
 
hata wajivute karibu na CDM kazi ni moja tu, fukuza kabacholi wote nchini, uchumi wetu unayumba kwa sababu yao hawa washenzi, kodi hawalipi, kamaninininina zaoeti kabisa.
 
CDM ifuatilie jambo hilo ka kuna ukweli waache kupokea pesa za Sabodo. But again hizo pesa za wahindi ni pesa wanazotuibia ikiwa jambo hilo ni kweli tunaweza kuzichukua tukajenga chama chetu cha kizalendo na cku tukikamata dola sheria zinafuatwa pasipo kupindisha mstari. Huo ni ujanja unaohitaji guts. We can do that.
 
Wakuu kuna taarifa tumezipata muda si mrefu,Wahindi wanamtumia yule Mzee anaitwa Sabodo kutoa misaada ya hela ili kujivuta karibu na Chadema kwa sababu wameona dalili za Watanzania kuwapa Chadema madaraka siku zijazo.

Wahindi ambao wengi wao hawapendwi na Watanzania waliamua kumpa jukumu hilo Sabodo eti kwa sababu yeye ndiye msafi kuliko Wahindi wote
kilichowafanya kuchukua uamuzi huo ni woga iwapo Chadema itachukua madaraka future yao haionekani,wanachofanya ni kuwaweka Chadema sawa ili wakichukuwa madaraka waendelee na uhusiano kama walio na kwa ccm.

swali letu kwa chadema je mnalijua hilo?

kama mnalijua je ni sawa kuendelea kupokea hela za hawa wahindi?

je kesho mkikamata madaraka mtaweza kweli kupambana na rushwa na uovu unaofanywa na hawa wahindi?

mmh! Maswali mengine jamani! Mi sioni kama kuna tatizo hapo ikiwa tu hakuna makubaliano ya aina yo yote kutokana na malipo ya hizo pesa ila tu wanapaswa kuwa makin na hiyo misaada isije ikawafanya kuwa watumwa hapo baadaye.
 
Mgombea ubunge kule jimboni kwa kafulila kupitia CDM alikuwa mhindi hata aliyegombea udiwani kata ya mjini Shinyanga kupitia CDM alikuwa mhindi
Mkuu,
Wengi tupo CDM lakini kwa vile idadi yetu ni ndogo ikilinganishwa na idadi ya watanzania ndo maana hatuonekani au kupewa nafasi za uongozi kwenye chama. Etu jaribu kuitisha mkutano wa wahindi walio wanachama wa CDM uone.
 
huyu fox aliaga akasema hapa jf unafiki umezidi sasa naona akiona post zinahusu chadema anachangia haraka haraka kulikoni
 
Wakuu kuna taarifa tumezipata muda si mrefu,Wahindi wanamtumia yule Mzee anaitwa Sabodo kutoa misaada ya hela ili kujivuta karibu na Chadema kwa sababu wameona dalili za Watanzania kuwapa Chadema madaraka siku zijazo.

Wahindi ambao wengi wao hawapendwi na Watanzania waliamua kumpa jukumu hilo Sabodo eti kwa sababu yeye ndiye msafi kuliko Wahindi wote
kilichowafanya kuchukua uamuzi huo ni woga iwapo Chadema itachukua madaraka future yao haionekani,wanachofanya ni kuwaweka Chadema sawa ili wakichukuwa madaraka waendelee na uhusiano kama walio na kwa ccm.

swali letu kwa chadema je mnalijua hilo?

kama mnalijua je ni sawa kuendelea kupokea hela za hawa wahindi?

je kesho mkikamata madaraka mtaweza kweli kupambana na rushwa na uovu unaofanywa na hawa wahindi?
Ndugu, ninafikri umetumwa kutafuta maoni na ccm. Napenda kukushauri kuwa katika siasa no permanent friend and no permanent enemy. Nyinyi wanaccm juzi mlisema CDM wanafadhiliwa na ujerumani. Mbona hamuachi kufuatilia CDM? Mbona nyinyi mnakula hela za bugdet kutoka kila wizara, mbona vitega uchumi zote mumeachiwa kama vile viwanja vya michezo.
Naomba Muacheni Sabodo achangie maendeleo ya democrasia nchini. Tunajua mnamtafutia kila makosa lakini mmeshindwa. Kaeni chonjo na njama zenu, CCM haiwezi kukaa madarakani milele hiyo ndo point unayotakiwa kujua.
 
Ukweli upo ambao hauitaji itikadi kuhuelewa. Je, mbona mwanzoni hatukuwaona wakiunga mkono vyama vya upinzani. Tatizo letu sisi ngozi nyeusi kila kitu tunadhani ni siasa tu. Unadhani huyo jamaa hana ambaye ni mfanyabiashara hanatoa pesa bila kuwa na malengo.
Hebu hangalia kwenye suala la kujaza dodoso la NHC halivyokuwa mkali ilihali hayo maswali tuliyajibu tulipokuwa tunaomba mkopo HESLB na hakuna haliyesema ni ya kibaguzi ila wao.

Hanatoa pesa, haliyasema... Hukustahili kupewa hata hiyo pesa ya HESLB.
 
Back
Top Bottom