Wahindi wanamtumia Sabodo kujiweka karibu na Chadema

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Wakuu kuna taarifa tumezipata muda si mrefu,Wahindi wanamtumia yule Mzee anaitwa Sabodo kutoa misaada ya hela ili kujivuta karibu na Chadema kwa sababu wameona dalili za Watanzania kuwapa Chadema madaraka siku zijazo.

Wahindi ambao wengi wao hawapendwi na Watanzania waliamua kumpa jukumu hilo Sabodo eti kwa sababu yeye ndiye msafi kuliko Wahindi wote
kilichowafanya kuchukua uamuzi huo ni woga iwapo Chadema itachukua madaraka future yao haionekani,wanachofanya ni kuwaweka Chadema sawa ili wakichukuwa madaraka waendelee na uhusiano kama walio na kwa ccm.

swali letu kwa chadema je mnalijua hilo?

kama mnalijua je ni sawa kuendelea kupokea hela za hawa wahindi?

je kesho mkikamata madaraka mtaweza kweli kupambana na rushwa na uovu unaofanywa na hawa wahindi?
 
sabodo mpiganaji wewe...halafu ni mkweli,hana unafiki kwa kuwa haitaji favor za government,pia ni tax payer mzuri,so unataka kusema chadema ikishinda itawaandama wahindi???kwani unadhani chadema haina wanachama wahindi?we kweli chademaa inaonekana umekutana nayo barabarani,hebu hudhuria nec au national assembly ya chadema siku moja uone wajumbe kadhaa wa mikutano hiyo wenye asili ya asia yani wahindi!
 
Mkuu wahindi gani hao waliopo NEC -CHADEMA? Najua wahindi ni wajanja sana hawawezi kujitokeza waziwazi bila kuwa na uhakika.
 
Mlevi mzuri wa Pombe huwa hachanganyi.Yaani huwezi kunywa Safari,zimeisha unagida Konyagi,ghafla Chui,Kisa unanunuliwa hapana,Ukilazimisha unajikuta unakuja na Thread kama hii.Funda moja la ziada linakutoa nishai,Ulevi nouma.
 
Mkuu wahindi gani hao waliopo NEC -CHADEMA? Najua wahindi ni wajanja sana hawawezi kujitokeza waziwazi bila kuwa na uhakika.

hesabu zao zinawaonyesha chadema watachukua nchi siku moja,kujisogeza karibu ni muhimu sana,juzi hapa National Housing waligusa maslahi ya wahindi tulimwona jinsi mzee sabodo alivyopiga kelele,sioni sababu ya kutokuliona hili
 
Mkuu wahindi gani hao waliopo NEC -CHADEMA? Najua wahindi ni wajanja sana hawawezi kujitokeza waziwazi bila kuwa na uhakika.

Mgombea ubunge kule jimboni kwa kafulila kupitia CDM alikuwa mhindi hata aliyegombea udiwani kata ya mjini Shinyanga kupitia CDM alikuwa mhindi
 
hesabu zao zinawaonyesha chadema watachukua nchi siku moja,kujisogeza karibu ni muhimu sana,juzi hapa National Housing waligusa maslahi ya wahindi tulimwona jinsi mzee sabodo alivyopiga kelele,sioni sababu ya kutokuliona hili

Mhindi ni Mhindi tu awe anakutana na wenzake kwenye yale majumba yao na wananena kwa lugha yao!!
 
watanzania wa leo hatujazoea siasa zisizofungamana na upende wowote ndio tatizo!hivi kwani ni lazima mtu kuwa mwanachama ama mshabiki wa chama fulani??mi nadhani mtu unaweza kuwa mtanzania mzalendo tu lakini huna chama bali unajali zaidi maslahi ya taifa!nadhani yeye sabodo japo inadaiwa aliwahi kuwa ccm lakini sasa ameamua kuwa bila chama zaidi ya kuwatia hamasa anaodhani wana nia njema na taifa hili!asikatishwe tamaa mpiganaji huyu....
 
Kama siyo mafisadi kwanini wawe na wasiwasi? Dawa siyo kuwapa Chadema pesa, dawa ni kuacha ufisadi. Hakuna anayewachukia wahindi kwa sababu ya uhindi wao, watu wanachukia ufisadi.
 
kama vile JK anavyowakumbatia wamarekani ili akipinduliwa akimbilie huko
 
Chadema inapambana na mafisadi wote, bila ya kujalisha ni wazungu, wahindi, wachina, wazawa au maburushi.
 
Back
Top Bottom