Wahindi Walalamikia Ukubwa wa Kondomu

mimi zilizopo hapa EA hazinitoshi, ni za saizi ndogo....naomba anwani ya watengenezaji ili watengeneza za saizi yangu
 
huu ni uchokozi, kweli kabisa

Kuna uchokozi gani hapo kama ni swala ambalo limefanyiwa utafiti, labda cha kuhoji ni chanzo cha taarifa hiyo na ni kina nani walifanya huo utafiti husika.
 
4550082.jpg

Saturday, May 29, 2010 1:40 AM
Utafiti uliofanyika nchini India umeonyesha kuwa wanaume wengi nchini India hawafurahishwi na ukubwa wa kondomu unaotambulika duniani kwakuwa kondomu hizo ni kubwa sana kulinganisha na ukubwa wa nyeti zao. Utafiti huo uliowashirikisha wanaume 1,000 wa nchini India ulionyesha kuwa kondomu zenye ukubwa unaotambulika kimataifa huwapwaya wanaume wengi wa nchini India.

Utafiti huo uliweka wazi kuwa zaidi ya nusu ya wanaume walioshiriki utafiti huo walikuwa na uume ambao ulikuwa ni mfupi kulinganisha na ukubwa wa kondomu.

Utafiti huo uliofanyika kwa miaka miwili uliweka wazi kuwa asilimia 60 ya wanaume nchini India wana uume wenye urefu kati ya sentimeta tatu hadi tano pungufu ya ukubwa wa kondomu unaotambulika duniani.

Matokeo ya utafiti huu yamepelekea makampuni ya kutengeneza kondomu nchini India yatakiwe kutengeneza kondomu zenye ukubwa tofauti tofauti.

Matokeo ya utafiti huu yametiliwa mkazo kwakuwa India ndiyo nchini inayoongoza duniani kwa idadi kubwa ya watu walioathirika na virusi vya Ukimwi.

Huu ndiyo wakati mwafaka kwa wamasaai wenye pharmacy zinzotembea na hadi kuwa kero katika Bar kujitanua kibiashara. Moja ya product yao wanayoitangaza sana ni DAWA YA KUONGEZA UKUBWA+UREFU wa mtaimbo. Wakiwezeshwa wanaweza kuwasaidia Wahindi na VIPIPI vyao!
 
habari hii nakubaliana nayo kabisa wahindi wanavibamia kuna rafiki yangu alienda kusoma india ukweli alikuwa hajatulia chuo kizima yeye ndio alikuwa ana uume mkubwa wanawake wakihindi walikuwa wanashangaa sana maumbile yake walimtumia sana na walikuwa wanasimuliana kwa siri sana si unajua tena india kwa utamaduni zao sio kujiachia achia ila mwisho wa siku walimharibu rafiki yangu akaambulia HIV sasa hivi yupo anaishi kwa matumaini yupo fresh anatumia dawa mwaka wa nne huu, anasema alikuwa anajua wahindi ni waaminifu hawana HIV kumbe alijidanganya
 
Back
Top Bottom