Wahindi na Ukwepaji kodi Tanzania

hauna point yoyote ile kuniambia hivyo. mimi si mhindi, mimi ni mtanzania. naweza kuwa mweusi, naweza kuwa mweupe, hilo si la kulieleza hapa. chamaana ni kwamba, hatutakiwi kuongelea urangi hapa, just step into their shoes kama ungekuwa wewe, babayako, babu wa babu yako alizaliwa hapa, hata kama unasafiri au kuweka hele nje, hili si tatizo, kwani hata mimi nina mamilioni mengi tu nje na ni mweusi. ungejisikiaje mtu akikubagua kwenye nchi uliyozaliwa? unapoteza muda wako tu hapo, pinga rushwa, usipinge uhindi au uharage, au ungano etc, international community is watching over you right there, na hauna uwezo hata wa kuwarudisha hao watu unaowaita wahindi huko meertu, kwasababu hawajazaliwa huko na hawanamakazi huko unakosema. pole.punguza hasira lakini.

BE WISE YOU BOY !!!!Babako gani ana uraia wa nchi tatu?Mngoni yupi atapokelewa kule Ethekwini bila visa?Sasa wewe unapotosha maana halisi ya mada!!Hapa inazungumziwa kutokulipa kodi ,Achana na randi Basi watu wenye asili ya kiasia wana kawaida ya kutolipa mapato ya serikali ipasavyo sheria ya nchi.KIWISHA!!!HUNA HOJA HAPO.
 
Kwa mfumo wa tanzani to be sucesssfull in bussines lazima ukwepe kodi au ufanye ujanja ujanja fulani huo ni ukweli. Na TRA wanajua sometime wanakuwa wapole . Sio kwa wahindi tu.U can be shocked.

Kuna mfanyabiashara mwanza anaitwa Kishimba aliposupport upizani mwaka 1995 alipigwa hesabu ya kukwepa kodi miaka kibao nyuma. wich was true. Huu ni mfano mdogo tu

Kuhusu hii Mizizgo yote inayopelekwa nje TRA wana kitu kinaitwa seal. Afisa TRA wa mipakani lazima wahakikishe na kisaini doc kuwa seal haijaguswa. Kwa hiyo basi hawa wahindi kama wanavyoitwa wameshirikiana na maafisa wasiwaaminifu TRA.
 
Back
Top Bottom