Wahi laptop hp 630 bei nzuri

The wan

Member
Jul 4, 2011
37
2
specifications zake:
HDD ni 320GB, processor ni celeron(R) dual-core CPU T 3300 @2.00GHz, OS ni windows 7, screen ni 15.6 inch. Battery inakaa masaa 4.
Ipo katika hali nzuri,napatikana maeneo ya Dar es Salaam. Nicheki kwa +255 762 986 611

Muonekano wa laptop katika pande tofauti..
hp_630_laptop_review_2.jpg HP-630-Laptop.jpg intro_02.jpg HP-630-notebook-profile.jpg

Adaptor/charger yake
hp-eliteBook-2560p-laptop-ac-adapter-charger.jpg
Battery yake
9cell-hp-630-battery-replacement.jpg
 
Usikate tamaa kwanu Mungu yupo na atakupa mteja mzuri wa kununua hizo picha kwani zinapendeza sana kwa mapambo ya sebleni.
 
Wabongo mnakera sana. Unawekaje bidhaa ya kuuza bila bei? Unataka kuuzia watu mbuzi kwenye gunia? Hivi lini tutakuwa serious na vitu tunavyofanya, hata kama ni vidogo? You need to grow up.
 
cha mambo ya ajabu specification cyo inshu, ka nngemaind specfication ningeenda kariakoo, nshu tunayomaind hapa ni bei za hiyo mambo ili tuweze kukutofautisha na wengine. unless hakuna maana ya kununua kwako na tuache hao wengine........uwe mdadisi.
 
weka bei hapa mtu aamue moja, haya mavitu yamejaa kila kona mitaani sidhani kama kuna haja ya kupiga number yako wakati sijaona wala sitegemei unafuu wowote kwako. kuna biashara ambazo ukiweka hivi lazima upate call za kutosha.
 
aya kaka, bei ni 700,000 tu
 
Wabongo mnakera sana. Unawekaje bidhaa ya kuuza bila bei? Unataka kuuzia watu mbuzi kwenye gunia? Hivi lini tutakuwa serious na vitu tunavyofanya, hata kama ni vidogo? You need to grow up.
thanx ndugu kwa kuniweka sawa. bei ni tshs 700,000 tu
 
Back
Top Bottom