waheshimiwa wakiburudika

Erickb52 may be Yummy wa makaratasi maana ninaye hapa aise na tunapeana mapenzi ya jiopni
Sasa huyo unayemwongelea ni yupi aise mbona si huyu wa kwangu
Hahahaaaa aisee sawa bhana ila unauficha ukweli...!
Msalimie sana Yummy mwambie aniletee bibie wangu nataabika na baridi ya Mt Meru
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
huyu wa kwanza kulia anaonekana mbwiga kabisa..nways karibuni darasalam, huku tutawafunza swaga zote..mskonde..
 
Last edited by a moderator:
Mhhhh!!! Erickb52 naanza kupata mashaka. Wote hao?
Heheheee usipate shida na mimi.....! Kila kitu ni wito madame...wanawake ni wachache duniani so lazma tuhakikishe wanafit idadi yetu... Mr Rocky mwenyewe ana kila kona hadi Meatu lol
 
Last edited by a moderator:
Kwani JKT inaanza lini rasmi?
Nahitilifiana na Kikwete katika sera zake nyingi na utekelezaji wa masuala yanayohusu uendeshaji wa serikali ya awamu yake; lakini kwa hili la kurejesha JKT anastahili pongezi kama kweli atalitekeleza. Hilo likikamilika bila kuchakachuliwa atakuwa ameandika historia ya moja ya mambo mazuri aliyolifanyia taifa.
 
Hahahaaaaaa Mr Rocky una majungu dah
Mi na KOKUTONA tunalea katoto ketu bhana acha mambo yako!
Unadhani utanibania?
Heheheee Sisi kwa Sisi
BTW KOKUTONA Erickb52 huwa hakasiriki hata siku moja!
Achana na huyu jamaa yangu nishamzoea kwa Vijembe na majungu lol

Alafu nilisahau Erickb52 , mtoto pamapas zimeisha.

Afu usijali nimeshamwelewa Mr Rocky, tupo pamoja sana. Ulikuwa wapi siku mzima?
 
Heheheee usipate shida na mimi.....! Kila kitu ni wito madame...wanawake ni wachache duniani so lazma tuhakikishe wanafit idadi yetu... Mr Rocky mwenyewe ana kila kona hadi Meatu lol

So Erickb52 unamudu wangapi?
Nahisi kujitoa kabal hujaniwini vizuri. Kushare naeza nikashindwa maana nina wivu sana.
 
Hahahaaaa aisee sawa bhana ila unauficha ukweli...!
Msalimie sana Yummy mwambie aniletee bibie wangu nataabika na baridi ya Mt Meru

Salamu zilifikishwa sema nikashindwa kukupasia blanketi,pole sana b52......endelea kumbembeleza mme wangu tuje kukupoza baridi.
 
Back
Top Bottom