waheshimiwa wakiburudika

Kwenye tamasha la wasanii wa kigoma waishio Dar es salaam hapo ni kigoma
 
Kilichonifurahisha kwa hii picha ni kuona kuwa sasa hivi bungeni kuna uwakilishi mzuri wa vijana na sura mpya na si kama miaka ya nyuma ambapo tulizoea kuona bungeni wakiingia wazee tu..
 
Yaani hapa KOKUTONA nafikiri Erickb52 anaweza pasua pc yake aruke aje akuone
Maana najua kichwa chote kitajaa sifa
Na atatangaza JF nzima kuwa kasalimiwa na kupendwa

Basi alilalia ubavu mzuri akaamka na bahati hiyo.

But huwez jua Mr Rocky anaweza aka perceive tofauti akakasirika.

Erickb52 uko wapi?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom