Wahenga waliliona hili la Kikwete na viongozi wa dini

Huyu JK bomu kabisa kwa akili yake issue kama hiyo alisubiri hadi aalikwe kwenye sherehe kama ile ndio aseme?????ukweli uko palepale hata kama vijana wa nepi hamtaki kukubali hili rais ni dhaifu rist za wala rushwa na madawa si anazo???????amechukua hatua gani????????yuko usingizini.
 
Mnyukano huu hautupeleki kwingine isipokua mdomoni mwa adui wetu mkuu kwa sasa UDINI. Lazima tujiulize, jk alimaanisha nini alipotoa hotuba hii kwenye hafla ya kikristu na sio kwenye baraza la iddi/maulid? Je, tunadhani alimaanisha 'viongozi wa dini' au 'viongozi wa dini ya kikristu'? Lengo la kauli yake ni nini hasa yeye kama Rais wa nchi. Unadhani wakristu wataendelea kuwaamini wachungaji wao makanisani baada ya kauli ile ya Rais? Bila kuwajua utajuaje kama aliyekuhubiria jumapili sio mmoja wao. Vipi majibu yake kwa maaskofu unadhani yana chembe ya heshima kwa dini ya mwenzio? Mfano kauli kama: Sikutegemea kauli hiyo kutolewa na viongozi wa Dini. Kama alijua uchunguzi unaendelea kwa nini katoa kauli. Uchunguzi ukigundua hawakushiriki? Kama anajua wako mahakamani, kwa nini ametoa kauli? Mahakama ikiwasafisha? Tuwe makini JK anakotupeleka siko, ni kupandikiza chuki ya kidini. Ama hana washauri wazuri au hashauriki kama wengine wanavyosema.
 
nafikiri kaamua kutumia busara na kuwasamehe kwa style hiyo. mbona akisamehe wafungwa hamlalamiki? cha msingi wajirekebishe kama sio sikio la kufa...
nimekaaa kimya kwa Muda ila wewe kijana unaonyesha huna hekima na kama unashule aikusaidii chochote,je unadhanii wote mana JF tunadhamini upimbi wako,kabla hujatoa coment think Big like wise and give out concrete argument na sikuwa kama vuvuzela,kimtazamo Rais anaongoza kikuku nathani umenielewa KIKUKU namaanisha nini!!!!:smash:
 
Mnyukano huu hautupeleki kwingine isipokua mdomoni mwa adui wetu mkuu kwa sasa UDINI. Lazima tujiulize, jk alimaanisha nini alipotoa hotuba hii kwenye hafla ya kikristu na sio kwenye baraza la iddi/maulid? Je, tunadhani alimaanisha 'viongozi wa dini' au 'viongozi wa dini ya kikristu'? Lengo la kauli yake ni nini hasa yeye kama Rais wa nchi. Unadhani wakristu wataendelea kuwaamini wachungaji wao makanisani baada ya kauli ile ya Rais? Bila kuwajua utajuaje kama aliyekuhubiria jumapili sio mmoja wao. Vipi majibu yake kwa maaskofu unadhani yana chembe ya heshima kwa dini ya mwenzio? Mfano kauli kama: Sikutegemea kauli hiyo kutolewa na viongozi wa Dini. Kama alijua uchunguzi unaendelea kwa nini katoa kauli. Uchunguzi ukigundua hawakushiriki? Kama anajua wako mahakamani, kwa nini ametoa kauli? Mahakama ikiwasafisha? Tuwe makini JK anakotupeleka siko, ni kupandikiza chuki ya kidini. Ama hana washauri wazuri au hashauriki kama wengine wanavyosema.

great critical tinker,umekomaa katika tasnia ya uchambuzi,safi saaana!!!:A S 103:
 
Kwasababu kashindwa kuwataja ndani ya masaa 48,rais wa CCM ni mwongo,mlopokaji,hana busara,mkulupukaji,na namdharau tagia masaa 48 Aliyoyasema Mokiwa.
 
nitawajibu hao vibaraka kukosea amekosea kama rais hutakiwi kuwa na majungu kama kuna kiongozi unayemjua wa dini anadeal na madawa mtaje na sio kuwadhalilisha viongozi wetu wa dini na hakujua muda na wakati wa kuyasema hayo aliyoyasema. Na penda kuwaonya msimlinganishe nyerere na kikwete kwan nyerere alikuwa na uelewa mkubwa mno pleaseee vibaraka msiniboe kwa hili.
Hivi mbona muelekeo wa mjadala ume base upande mmoja tu. Nakumbuka rais alipotoa kauli yake, hakutaja dhehebu wala jina dini wanakotoka viongozi hao. Iweje viongozi wa madhehebu ya kikristo ndo wapinge kauli hiyo na kutaka ushahidi? Kwani inawahusu wao?
 
Mimi niliwasikiliza sana hao viongozi wa dini, walisema wanataka Rais awataje hao viongozi wanao jihusisha na madawa ya kulevya ili wajulikane. hawafai kuongoza hata katika madhehebu au taasisi wanazotoka,wakijulikana hata wafuasi wao watawakataa, na watachukuliwa hatua. kwa sababu hakuna dhehebu linalo ruhusu biashara hiyo.
 
Kwa
sababu, ukimkiri Yesu
kwa kinywa chako ya kuwa ni
Bwana, na kuamini moyoni
mwako ya kuwa Mungu
...alimfufua katika wafu,
utaokoka. Kwa kuwa, kila
atakayeliitia Jina la Bwana
ataokoka. Warumi 10:9,
13.
 
'Mkuki mtamu kwa nguruwe,ila mchungu kwa binadamu'. si kila siku tunasikia viongozi wetu wa dini tena kwa maono wanakemea na kusema baadhi ya viongozi wa nchi ni wala rushwa/mafisadi? Kwa nafasi yao wametekeleza wajibu wao kukemea maovu, je wao nani wa kuwakemea?

J.K akisema kuna baadhi ya viongoz wa dini ni wauza poda, ni vibaya, kwani yeye si ni mtanzania, tena Rais? Na je kwan nini uwongo hamna viongozi wa dini wauza unga?

Na alivyosema viongoz wa dini, kwani dini ni wakristo tuu? Jamani hebu tusimchukie kikwete hivyo.

Angethubutu wapi kwenda kutamka ujinga wake kwa Waislam! Mama Sofia Kawawa aliwashauri kutokuoa wanaweke wengi kwani ni kudhalilisha mwanamke, wakaona anataka kuwaondolea starehe, Wakamlaani na kumtangazia Fatwa. Mwinyi, Ruksa kawaasa watumie Condom, Wakaona anataka kuwapunguzia Utamu, Wakamnasa Makofi. Je Mkwekwe angethubutu kuongea nao!
 
Inashangaza kwamba mkuu wa nchi ya Tanzania aliwausia viongozi wa dini zote yaani dini za Kiislam, Kibaha'i, Kihindu, Kiyahudi, Kishinto, Kikristo, Kibudha, n.k, kuacha kuuza/kununua "BHANGI" lakini walio react ni wa dini moja tu, sijui kwa nini ?
 
'Mkuki mtamu kwa nguruwe,ila mchungu kwa binadamu'. si kila siku tunasikia viongozi wetu wa dini tena kwa maono wanakemea na kusema baadhi ya viongozi wa nchi ni wala rushwa/mafisadi? Kwa nafasi yao wametekeleza wajibu wao kukemea maovu, je wao nani wa kuwakemea?

J.K akisema kuna baadhi ya viongoz wa dini ni wauza poda, ni vibaya, kwani yeye si ni mtanzania, tena Rais? Na je kwan nini uwongo hamna viongozi wa dini wauza unga?

Na alivyosema viongoz wa dini, kwani dini ni wakristo tuu? Jamani hebu tusimchukie kikwete hivyo.

Ebu ondoa upuuzi wako wa kidini hapa
 
Back
Top Bottom