Wahaya nana

vivian

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
1,749
1,000
MANJONJO YA WAHAYA

Baada ya kumaliza degree yake ya sheria mlimani Bwana Rwegoshora aliamua
kurudi nyumbani Bukoba mjini na kufungua ofisi yake kwa ajili ya
kuhudumia clients(wateja) .

Siku ya kwanza wakati ndio amefungua ofisi yake,alimuona kijana
mtanashati anakuja kuelekea ofisini kwake.Hapo ndipo alipoanza kunyanyua mkono wa simu ya TTCL,wakati anajizungusha kwenye viti virefu.

Wakati kijana alipokaribia Rwegoshora alionesha kumkaribisha wakati anaongea na simu,alisikika akiongea ''No.no
, no, Absolutely no, You tell those clowns in New York that I won't settle this case for less than one million. (pause)

Yes, yes . The Appeals Court has agreed to hear that case next week, I'll be handling the primary argument and the other members of my team will provide support. Okay. Pliz dont forget to tell the State Prosecutor that I'll meet with him next week to discuss the details." Yule kijana ametulia tu anamuangalia bwana Rwegoshora anajinyonganyonga kwamuda zaidi dakika 5.

Baada ya kumaliza kuongea na simu,bwana Rwegoshora alielekea kwa huyu jamaa.
''Samahani sana, kwa kukupotezea muda wako, unajua tena kazi zetu hizi unaumiza kichwa sana,kama unavyoona tena mwenyewe hapa, yaani niko busy sana, ninapokea simu mpaka nimechoka mwenyewe. enh by the way, what can i do for you?Jamaa alijibu.
'' Mimi ni mfanyakazi wa TTCL,nimekuja kuunganisha line yako ya simu kwani haipo hewani''
 
VIVIANI:blah: je kama alikua meunganisha? maana kama alikuwa na dgree ya wezekana alikuwa na ujuzi wamabo ict huyo fundi mchundo wa ttcl akujua maana kuna watu watundu nakumbuka simu zilikuwa zinawekwa kufuli uoni button lakini tulikuwa tunapiga kwakubonyeza batton ya mkonga!!Umechemka nikweli alikuwa anaongea na marekani yani atoke marekani nauli $2000 ashindwekulipia simu??namtu anahodhi dgree ya sheria??Nikati yadgree ngumu??
 
acha manjonjo ya kihaya wewe nani kakwambia degree ya sheria ndo degree ngumu, labda kama ulikuwa kilaza, kimsingi hakuna degree ngumu ni kichwa chako na jinsi walimu wanavyotoa shule, wahaya bwanaa
 
Najua PhD hutaki kuujua ukweli maana ndo hali halisi japo wewe umejiita PhD nashukuru lakini najua siyo wewe wengi waaina yako hawataki kukubali ukweli!!Hivi wewe umetoka nje umefungua ofisi ya uwakili kweli usiwe na simu??eti fundi ndo anamwambia nimekuja kukuunganisha ni metoka tccl huo ni udhalilishaji wa hali ya juu kwanza mimi ningempiga huyo fundi....lol
 
Soma vizuri mkuu. Umeambiwa huyo bwana amemaliza mlimani au nje ni nje ya Bukoba nini?????????????
 
VIVIANI:blah: je kama alikua meunganisha? maana kama alikuwa na dgree ya wezekana alikuwa na ujuzi wamabo ict huyo fundi mchundo wa ttcl akujua maana kuna watu watundu nakumbuka simu zilikuwa zinawekwa kufuli uoni button lakini tulikuwa tunapiga kwakubonyeza batton ya mkonga!!Umechemka nikweli alikuwa anaongea na marekani yani atoke marekani nauli $2000 ashindwekulipia simu??namtu anahodhi dgree ya sheria??Nikati yadgree ngumu??

umenikumbusha mbali saaaan!!!!!!
 
ila zenye Maslahi duni
 
Back
Top Bottom