WAHAYA na WANYAKYUSA hufilisika kwenye utu uzima

Napenda kuongeza na Wasukuma pia. Nimeishi na watu hawa Wahaya, Wanyakyusa na Wasukuma nimeona mengi yanayofanana niseme tu hawa jamaa wana tabia ya kusquander ie kutumia mali kwa fujo sana hasa kwenye vileo, vyakula na wanawake. Pengine hapo ndipo mchawi wao alipo.

Wahaya na Wasukuma wengi wakishatoka kwao basi hawaangalii nyuma tena. Ndio maana unaona Wahaya wengi wakijitutumua hapa mjini kwamba wamesoma lakini nenda Kashozi, Muleba, Mtukula n.k umaskini wa ajabu na kagera ni moja mikoa maskini zaidi Tz. Mimi nadhani idadi ya akina mangi waliosoma ni mara 3 ya wahaya lakini jamaa hawajitambulishi sana lakini wapo, wajanja sana hawa jamaa. Angalia vizuri vyuo vikuu utaona sijui wanamission gani, lakini no sweat ni wa kuigwa

Tofauti na akina Mangi ambao nimewaona ni watu makini sana kwenye matumizi ya jasho lao. Unaweza kumkuta mangi ana bilioni 3 lakini matumizi yake ni ya kawaida wala habweteki na pesa. Atafikiri kujenga nyumba hata kama tayari anazo nyumba 5. atasomesha watoto na kununua ardhi.

Na hii ndio inayowafanya akina mangi waonekane kama wabahili, kumbe sio ubahili ni kuweka kipaumbele (priority) kwenye mambo ya msingi kwanza na starehe baadaye.

Ushauri wangu ni kwamba badilika kitabia na kuwa na maono ya muda mrefu, fikiria kuinvest (kuwekeza unapopata hela) lakini weka hiyo mipango kabla hata ya kupata hela kwani kama huna hiyo mipango siku ukipata hela ghafla zitaishia kwenye mabinti, pombe, nk.

Akina mangi ni wanywaji lakini wanakunywa kwa step na wanapokaa baa hawakai tu ili kunywa bali utakuta ndio kikao chao cha kukutana na kupanga mipango ya biashara, (asilimia karibu 35% ya wanaokaa kwenye mabaa ni wao lakini bado hawafilisiki kihivyo) tofauti na wengi wetu ni kupiga mastori ya malaya tu

Ila wanapoteza sana kwenye masherehe ya kifahari ya harusi na mtu mmoja alipiga mahesabu na kugundua kuwa gharama za harusi zote za akina mangi kwa mwaka ni zaidi ya bilioni 100! Wangeweza kujenga chuo kikuu kimoja kila mwaka! Lakini bado hii haiwafilisi sana, ina pesa hii mijitu tukubali

We kabila gani! kama wewe ni wale wanaokulamara moja kutwa, mlo wa maandazi etc shauri yako. Tupe kabila lako
 
Wahaya na Wasukuma wengi wakishatoka kwao basi hawaangalii nyuma tena. Ndio maana unaona Wahaya wengi wakijitutumua hapa mjini kwamba wamesoma lakini nenda Kashozi, Muleba, Mtukula n.k umaskini wa ajabu na kagera ni moja mikoa maskini zaidi Tz. Mimi nadhani idadi ya akina mangi waliosoma ni mara 3 ya wahaya lakini jamaa hawajitambulishi sana lakini wapo, wajanja sana hawa jamaa. Angalia vizuri vyuo vikuu utaona sijui wanamission gani, lakini no sweat ni wa kuigwa

Nafikiri umekurupuka mimi katika hilo hawa jamaa nawafagilia kwani wengi wao wamefanya vitu vya maana sana kwao. Nenda Bukoba, kuna mzungu alitokea mwanza akawa anaenda Bukoba mjini njiiani alishangaa sana akiuliza kama vijijini mambo ni mazuri vile mjini kutakuwa je?. Kwani aliona uoto wa asili, mashamba yaliyopangiliwa vizuri na majumba yenye hadhi. Hivyo hiyo observation yako ya uongo kabisa
 
Kuna Thready moja humu ndani nimeandika - "Huu ni mtazamo wangu kwanini nchi hii wasipewe wachagga"
 
Du, wale moderators wekeni hii pembeni, itafanya siku jf saccos ikianza tuogope kutaja majina yetu ya ukweli.
 
Wachaga wanapata mali kwa njia nyingi sana .1.Kufanya watoto wao ndondocha 2.Wizi wa kila aina ni sifa mojawapo kwao mwanamume kuiba 3.Kudhurumina kwao ndo sana.Kwa hiyo makabila ya wanakyusa na wahaya hawana hiyo vitu.
 
Usipende sana ku generalise mambo............!!!!!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom