Wahaya na mitandao ya simu

nziriye

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
1,050
361
Wanajf jamani nimegundua kuwa huko Mkoani kagera kwa ndugu zangu Wahaya wamepokea maendeleo ya mitandao ya simu kuanzia miaka ya 90's yani tangu hapo wamebatiza majina jipya watoto wao ,hebu cheki baadhi ya hayo;

-mobitel mujwahuki
-vodacom kokutona
-vibration kaizilege
-batterylow mjuni
-airtel kajuna
-ringtone tibaijuka
-tigo kokushobera
-Ttcl mukandala
-nokia double line tibanyenda


vpi wanajamii forum ,ADD MORE
 
call later kahatano
not reachable mwombeki
call ended kataraia
battery low rutashubanyuma
network katto
charger mwesiga
headphone mushumbushi
beep kokushoboza
internet kabyemera
flash ngaiza
try again later rugumyamuheto
network busy rwegasira
 
nimekumbuka wengine-
-zantel mutakyhwa
-touchscreen kabyemera
-blackberry buberwa

na kuna huyu kanivutia kweli na jina lake la kihaya eti singsung motorola mujuni..,teh teh wahaya bwana wapo juu kama Jamii Forum
 
@pakajimmy bwana upo juu,thanks mana hii jamii ya kihaya ni kubwa sana
 
@gaga -halafu kweli jamani nimesoma na mdogo wake huyu gprs rwetaibanguera alikuwa anaitwa SLIDEUP RWETAIBANGUERA ,eti gaga bado wanakaa kulekule mbagala au wamehama tayari...
 
hahahaha PJ, umenivunja mbavu kiongozi, kwema lakin?


call later kahatano
not reachable mwombeki
call ended kataraia
battery low rutashubanyuma
network katto
charger mwesiga
headphone mushumbushi
beep kokushoboza
internet kabyemera
flash ngaiza
try again later rugumyamuheto
network busy rwegasira
 
Back
Top Bottom