Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,361
- 2,734
LOh! hii kali kinoma, maaana du, inabidi tufanye critical argumentation, Mikoa ambamo wahaya walihamia wakapata alama za kati , imean chini ya 90% waliwatosa pia? hahahaahaaaa. Suala la kuwa bright lina ushahidi fulani japo uhakika ndo issue. Kuwa sehemu zote ambazo ndizi na samaki zinapatikana kwa wingi watu wako bright. Mfano wachagga, wahaya , wanyakyusa ni balaa. Ila hii inaa changanya maana kuna wahaya, wachagga, wanyakyusa ambao ni vilaza kinoma. Sasa sijui nielewe vipi? Tamko hilo inabidi lihakikishe wahaya wote hawakutoka nje ya mkoa wakafaulu kwa 40% au alama!!!!!!!!!!!!!!!!!. Sometimes reasoning matters