OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 428
Taarifa za kiintelejensia kutoka vyanzo muhimu vilivyo karibu na Katibu wa Jukwaa la Wahariri VINAELEZA KUWA baada ya kukamilisha suala la maandamano yenye lengo la kuichafua serikali na polisi wahariri wamepewa kile kinachoelezwa kuwa ahadi ya muda mrefu kutoka kwa mfanyabiashara mmoja nchini na hivyo sasa kuwa na SACCOS yenye mtaji mkubwa na ambayo itatoa fedha zake kwa kutazama aina ya wahariri na mchango wao katika kufanikisha matakwa ya mfanyabiashara huyo ndani ya serikali na nje ya serikali yaani katikia upinzani.
Taarifa zaidi zitaendelea kutolewa hapa kwa sasa nawahi kibarua.
Taarifa zaidi zitaendelea kutolewa hapa kwa sasa nawahi kibarua.