mashikolomageni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 1,570
- 187
Riz1 anaogopa hata kukaa na wahariri wa vyombo vyetu vya habari? Basi na wao wafanye strike ya kutoandika habari zake pia wamshtaki mwenye hotel kwa hatua zake za kibaguzi
ukiwa na kichwa cha nazi taabu kwelikweli kila kitu utajiamulia hivi ndivyo kodi ya watanzania inavyotumiwa vibaya
mkuu vyovyote vile lakini habari hii huwezi kumlaumu Ridhiwani...
mwenye hoteli alikuwa na mamlaka ya kukataa ugeni wa Ridhiwani na kutetea wateja wake wengine
tusikimbilie kulaumu watu tu.Kama yeye Ridhiwani yuko convinced anahitaji security
ya uhakika kwa maisha yake sisi wengine tunaweza vipi kusema hakuna haja ya hilo??????
wanaosema Ridhiwani ni nani ni wapumbavu, hata watoto wa Obama wanapewa security...
muhimu ni kuzingatia hiyo security iko vipi, cost zake,na ni vipi haitakuwa kero kwa wengine
kwa hili aliesababisha kero sio Ridhiwani ni wamiliki wa hoteli
Yale maneno "MANAGEMENT RESERVES THE RIGHT FOR ADMISSION" kumbe huwa yanatumika..
Nakubaliana nawe Mkuu, ilibidi wagome kufukuzwa mpaka kieleweke. Ridhwan hana haki zaidi ya kufikia hotel hiyo ukilinganisha na hao wahariri.
F**ck you...
Nao wahariri walikubali kuondoka? kama waliondo uka na hawatofungua kesi ya anti-discrimination wanastahili kufukuzwa mahali popote ambapo kuna uwezekano wa Ridhiwani kupita.
Ni Mwanza BOSS na siyo Dom...Na wanahabari inaelekea waliambiwa hivyo na Management ya Hotel kwamba mnahamishwa kwa sababu ya usalama wa Ridhwan. Tusubiri labda utawala wa Hotel hiyo wanaweza kuweka bayana nini hasa kilichojiri hadi wahariri hao kufukuzwa hotelini.
Great thinkers .Let me share my personal experience juu ya ujinga huu kama kweli umetokea hapo Mwanza .Mwaka 2000 nilifikia Mwanza hotel .Mchana nikawa nimeshuka kula na mie na jamaa yangu nikachagua mahali pa kukaa .Nikiwa karibia nianze akaja mtu anawaka .Nikashangaa kidogo akasema simama simama tafuta mahali pengine eneo lote hili anakuja waziri ni wiki ya Maji na inafanyika Mwanza na by that time alikuwa Paul Kimiti .Kusikia vile nikamuuliza huyo ni waziri wa wanyama au watu ? Nikamuuliza mie nalipa mawe yeye pesa ? Nikamuuliza kwa nini yeye na watu msipangie hadi umelete kona hii ? Nikiwa najibishana bila kujua who was Kimiti kesha fika na wapambe wake .
Kumbe alinisikia nikisema wa utulivu ba waka sikuwa na nia ya kuondoka pale .Basi Kimiti yalimwingia akanishika mkono akasema basi bwana yameisha nakaa pale na mie ndiye Kimiti .Wapambe hawakuelewa wala watu wa Mwanza hotel hawakuelewa .So kama leo kweli limetokea basi hao jamaa hapo Mwanza ni tabia zao kwa ma CCM .
Seif al Islam bin Gaddafi. Hizo ndizo zilikuwa style zake.