Wahariri wa Vyombo Vya Habari wafukuzwa Malaika Hotel Mwanza?

pumbazu zao wote walioshiriki kuwafanyia ujinga wahariri kwa ajili ya mjinga mmoja rizone!
 
Muda huu nimezungumza na Makunga amenieleza kwamba yeye bado yupo Malaika na rm no. 2xxx amenitajia yupo sasa ukweli ni nini!
 
MMKJ hebu watu wachunguze jee hiyo Malaika Resort kweli ni ya yule Muasia Manooj Mehta? Naamini watu watapigwa butwaa watakapoujua ukweli.

Kuna tetesi zimekuwepo tangu mwaka uliopita kwamba hiyo Hotel ni ya huyo kijana , hivyo nadhani ana haki ya kutoa maamuzi kwenye mali yake, lakini vijitabia vya namna hii kwa kweli tutafikishana mbali sana! Poleni sana kwa yaliyowafika, Duh!
 
mkuu vyovyote vile lakini habari hii huwezi kumlaumu Ridhiwani...
mwenye hoteli alikuwa na mamlaka ya kukataa ugeni wa Ridhiwani na kutetea wateja wake wengine
tusikimbilie kulaumu watu tu.Kama yeye Ridhiwani yuko convinced anahitaji security
ya uhakika kwa maisha yake sisi wengine tunaweza vipi kusema hakuna haja ya hilo??????

wanaosema Ridhiwani ni nani ni wapumbavu, hata watoto wa Obama wanapewa security...
muhimu ni kuzingatia hiyo security iko vipi, cost zake,na ni vipi haitakuwa kero kwa wengine
kwa hili aliesababisha kero sio Ridhiwani ni wamiliki wa hoteli
Mbona watoto wa Mkapa ,Mwinyi au Nyerere hawakuwa na ulinz huo?au Ridhiwan ndo first boy?
 
Kuna tetesi zimekuwepo tangu mwaka uliopita kwamba hiyo Hotel ni ya huyo kijana , hivyo nadhani ana haki ya kutoa maamuzi kwenye mali yake, lakini vijitabia vya namna hii kwa kweli tutafikishana mbali sana!
Sasa naanza kupata picha ya sababu nzima ya "wahudumu" wa hoteli kuwaambia wahariri kuwa wanaondolewa kupisha ugeni wa Riz na bahati mbaya sana Makunga kaongea na Fred Katulanda ambaye ni mwandishi wa habari na kusema hajafukuzwa na bahati mbaya sana Riz naye hayupo hapo Malaika.
 
Teacher usikurupuke na thread zako. Wapi katka katiba kuwa familia ya rais itapewa ulinzi? Usiwe mwehu wa mawazo. Jaribu kufikiri sana kabla hujapost upupu wako humu jamvini.
 
Mbona watoto wa Mkapa ,Mwinyi au Nyerere hawakuwa na ulinz huo?au Ridhiwan ndo first boy?
Ther's a lot of hate going on, usitake kujifanya kama hujui. Mkapa kafanya madudu mengi tu, yeye na mawaziri wake, ila chuki anayoonyeshwa kikwetew imezidi!
Mnatia aibu!!.... let it go! matusi anayomwagiwa mkewe na fanmilia yake huwezi kufananisha na marais waliopita.

Hamjui usalama wamepelekewas death threats ngapi..... we dont know that.
Mmezidi ushabiki wa kipumbavu.
 
Tanzania is not a Republic, it is a Monarch!!!!!!!!!!!
This is what lives in the minds of many Tanzanians including leaders though they publicly preach of democracy.
I can't be wrong, existing is this truth.
 
Sasa naanza kupata picha ya sababu nzima ya "wahudumu" wa hoteli kuwaambia wahariri kuwa wanaondolewa kupisha ugeni wa Riz na bahati mbaya sana Makunga kaongea na Fred Katulanda ambaye ni mwandishi wa habari na kusema hajafukuzwa na bahati mbaya sana Riz naye hayupo hapo Malaika.
Kizunguzungu!!! Sijielewi!!!
 
Wana Jf

Baada ya kutoka Magu Ridhwani kikwete aliamua kuhama hoteli ya Golden Crest na Kuhamia Hoteli ya Malaika uamuzi huu umesababisha wanahabari waliokua wamefikia na kulipia Vyumba katika Hoteli hiyo kuambiwa watoke kwa ajili ya kulinda usalama wa Mtoto wa Rais.

Tukio hili Binafsi limenisikitisha Baadhi wanahabari akiwemo Mzee Teophil Makunga na wanahabari wengine ambao vyumba vyao vilikua vimelipiwa siku tatu zilizopita kuambiwa hawataruhusiwa kufikia Pale kwani Mtoto wa Rais wetu atalala hapo na kwakua atalala hapo wanatakiwa kuondoka kwa ajili ya kulinda usalama wake.

Hili limenishangaza nakujiuliza namna madaraka yanavotumiwa Vibaya,ana ulinzi wa maaskari na sasa hapa amefika RPC.

Jambo hili tujadili ndg zangu nimesikia matukio ya Arusha jinsi Dola anavyo agizwa na huyu ndg nimejionea magu aina ulinzi uliotumika mapolisi,wana usalama kama Waziri mkuu yupo eneo hilo
Mkuu usipate tabu, kwani Gaddafi alikuwaje? we waache waendelee kujisahau, siku zao mbona zilishakwisha!!
 
ngoja niwambie sometime muhusika hana makuu ila wapambe.nilisha safiri na mkuu mmoja tukalala njiani nyumba ya wageni mkuu alikuwa simple tu.alivyoandikisha jina mwenye hoteli alimpigia simu ocd hatimaye mkuu wa wilaya ukaletwa ulinzi bila mgeni kuomba wala kujua.sometime ni kujipendekeza tu kwa watu

Kikwete ni rais wa nne, na wote waliomtangulia hakuna hata mmoja aliyekuwa mgumba - walikuwa na watoto. Na watoto wa Nyerere, Mwinyi wamesoma Weruweru, wamelima na jembe la mkono, wamedeki, wamekimbia mchakamchaka kama wengine, hawakupata special care hata kidogo.

Mkapa pamoja na mapungufu yake kama binadamu hatukusikia watoto wake kama ni 'simple' au 'sophisticated' wakati akiwa magogoni. Hii thoery kwamba 'mhusika' hana makuu does not hold water.Sorry. Unless una unafikiri kama Ghadafi, lakini hakuna mzazi mwenye akili timamu atayemweka mtoto wake kwenye front line politics. Mwisho wa Ghadalf Co Ltd tumeona - well wenye macho tumeona!
 
Hii thread inakuja wakati Rais Lowassa anahutubia Taifa TBC1, na siku JK "anazomewa" Mlimani Rais Lowassa anazongwa na "wanachuo" na kuombwa awasaidi kwa kuwa ndiye kiongozi mwenye kuweza kufanya maamuzi magumu. This is Tanzania tuitakayo.
 
Wana Jf

Baada ya kutoka Magu Ridhwani kikwete aliamua kuhama hoteli ya Golden Crest na Kuhamia Hoteli ya Malaika uamuzi huu umesababisha wanahabari waliokua wamefikia na kulipia Vyumba katika Hoteli hiyo kuambiwa watoke kwa ajili ya kulinda usalama wa Mtoto wa Rais.

Tukio hili Binafsi limenisikitisha Baadhi wanahabari akiwemo Mzee Teophil Makunga na wanahabari wengine ambao vyumba vyao vilikua vimelipiwa siku tatu zilizopita kuambiwa hawataruhusiwa kufikia Pale kwani Mtoto wa Rais wetu atalala hapo na kwakua atalala hapo wanatakiwa kuondoka kwa ajili ya kulinda usalama wake.

Hili limenishangaza nakujiuliza namna madaraka yanavotumiwa Vibaya,ana ulinzi wa maaskari na sasa hapa amefika RPC.

Jambo hili tujadili ndg zangu nimesikia matukio ya Arusha jinsi Dola anavyo agizwa na huyu ndg nimejionea magu aina ulinzi uliotumika mapolisi,wana usalama la
 
Kikwete ni rais wa nne, na wote waliomtangulia hakuna hata mmoja aliyekuwa mgumba - walikuwa na watoto. Na watoto wa Nyerere, Mwinyi wamesoma Weruweru, wamelima na jembe la mkono, wamedeki, wamekimbia mchakamchaka kama wengine, hawakupata special care hata kidogo.

Mkapa pamoja na mapungufu yake kama binadamu hatukusikia watoto wake kama ni 'simple' au 'sophisticated' wakati akiwa magogoni. Hii thoery kwamba 'mhusika' hana makuu does not hold water.Sorry. Unless una unafikiri kama Ghadafi, lakini hakuna mzazi mwenye akili timamu atayemweka mtoto wake kwenye front line politics. Mwisho wa Ghadalf Co Ltd tumeona - well wenye macho tumeona!
Unajua watoto wake wengine wanaishi vipi?.. wapo mitaani, na wengine wana interact na marafiki kama kawaida. Acha kuexaggerate viytu visivyo na msingi kimaisha.
 
Back
Top Bottom