wahariri wa vyombo vya habari vyote wako ikulu now

Nawaomba mods wawe makini kisehemu cha kufungia waongo wote ikifika leo saa 1 jioni mawaziri wasipotangazwa. Maana ni usumbufu sasa.
 
Je, hilo ni Gazeti la mwananchi la jioni.

Kwani la Asubuhi hakuna habari kama hii.

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!

Thanx kwa ukuaji wa technologia,gazet la mwananchi wanatovuti yao kaka...
Www.mwananchi.co.tz kwa taarifa
 
Back
Top Bottom