Wahanga wa EPA waomba

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Baniani yuko jela na sanamu wake wa kuabudu, kila siku anaiabudu na kuiomba atoke jela, kwenye chumba kuna muislaam. Muislaam nae kila siku anasali na kumuomba Allah atoke jela, Muislaam akatolewa, wakati anatoka

Baniani akamuuliza Muislaam 'vipi wewe nafanzaje mpaka iko toka na mimi kila siku naomba hapana toka?

Muislaam akamjibu 'tatizo lako wewe na Mungu wako nyote mpo jela mefungwa'
 
Mkuu Mwiba,
Ninaamini kuwa wewe ni "Mzee uliyekula chumvi nyingi"
Na kama hivyo ni kweli, basi ACHA KUKEJELI IMANI ZA WENZAKO.
Hata kama wewe unajiona unaamini kilicho chema "Mbona mnauana wenyewe kwa wenyewe kwenye nyumba zenu za ibada kwa mabomu na kujitoa mhanga?"
Ushauri wangu kwako "Jitahidi kumwabudu Mungu wako kwa Moyo wako wote, kwa roho yako yote, kwa akili yako yote na kwa nguvu zako zote" na "Mpende kila binadamu kama unavyojipenda mwenyewe".
 
Kwenye sakata la EPA hakuna aliyetoka ila wamepata dhamana, hivyo kila aliyetimiza masharti ya dhamana ana haki ya kupewa dhamana na kuwa nje. sasa hapo suala la kuomba mungu halihusiani na dhamana. ukiwa muumini hasa huwezi kuwa fisadi. siamini Muislam kuwa fisadi na akawa ni muumini wa kweli.

Muislam kuwa tajiri si jambo la mchezomchezo, yakubidi upate utajiri kwa njia halali na uutumie kwa njia halali. Hivyo ni WaIslam waumini wachache sana MATAJIRI.
 
Baniani yuko jela na sanamu wake wa kuabudu, kila siku anaiabudu na kuiomba atoke jela, kwenye chumba kuna muislaam. Muislaam nae kila siku anasali na kumuomba Allah atoke jela, Muislaam akatolewa, wakati anatoka

Baniani akamuuliza Muislaam 'vipi wewe nafanzaje mpaka iko toka na mimi kila siku naomba hapana toka?

Muislaam akamjibu 'tatizo lako wewe na Mungu wako nyote mpo jela mefungwa'

Huyo Muislam alipaswa aombe asitoke mapema kabla ya Baniani kusilimu kutoka na kazi ya Daawa ambayo alipaswa kuifanya humo selo. ni nafasi adimu na adhimu alopata huyo Muislam kuwa na Baniani muda wote, usiku na mchana hivyo ingekuwa vyema kumuonesha upendo na kumpa darsa la imani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom