Wahandisi wa ujenzi wa mabarabara Tanzania.

Kimweli

JF-Expert Member
Oct 4, 2011
899
231
Hivi watanzania tumelogwa, tumelaaniwa? Kwa nini kila mradi wa ujenzi mabarabara unafanywa na wachina? Hii ina maana gani kwetu wazawa? Na board yenu bora tu ivunjwe haina msaada wowote kwenu. Wachina niwakuchukia sana ni wezi
 
punguza munkari kijana,
una hela wewe za kuendesha miradi hiyo?
wenzio wachina wankuja na hhela zao wanikop[esha serekali yako, je wewe unazo hela? hujasikia kuwa Tanroads wanadaiwa na hao wachina bil 300 ?
Ni hayo tu!
 
Tatizo ni hela au serikari ya kishugadad? We are reach bana. Mimi hela ninazo ambazo ni safi na kula bata na ndungu zangu
 
Kulalama kila mahali. Nipe orodha ya wandisi 10wa kitanzania wenye angalau compacter mojamoja. Hapa bongo watu wanawaogopa mpaka ndugu zao, ukinunua asset unamabila umetuibia, watu wanaishia kutumbua fedha wanazozipata. Ukienda kukomba mkopo hata kama una collateral ya kutosha meneja nataka 10% kabla hujapewa mkopo wenyewe-unadhani ni lini mhandisi mzawa atakuwa na kampuni yenye uwezo wa kushindana na wachina?!, we are enemies of our own.
 
Kulalama kila mahali. Nipe orodha ya wandisi 10wa kitanzania wenye angalau compacter mojamoja. Hapa bongo watu wanawaogopa mpaka ndugu zao, ukinunua asset unaambiwa umetuibia, watu wanaishia kutumbua fedha wanazozipata. Ukienda kukomba mkopo hata kama una collateral ya kutosha meneja nataka 10% kabla hujapewa mkopo wenyewe-unadhani ni lini mhandisi mzawa atakuwa na kampuni yenye uwezo wa kushindana na wachina?!, we are enemies of our own.
 
HAWAITWI WAHANDISI, WANAITWA WAKANDARASI AKA CONTRACTORS NA TZ WAPO WENGI WAKUBWA
1. MECCO
2. ELERAI
3. KERAI
4. ROCKTRONIC
5. NYANZA ROADWORKS
6.J.S. KHAMBAITA
7. HARI SING
8. SKOL
9. KONOIKE (T) LTD
10. JANDU
11. www.crb.go.tz utawapata wengi kuanzia Class 1 mpaka class 7 Just be informed
 
na CANOPIES INTERNATIONAL (T) LTD umeisahau boss
 
Kimweli hayo ndio masharti ya mikopo.....tunakukopesha lakini miradi yote mikubwa ya serikali tunaichukua sisi ili hela yetu irudi nyumbani....ngastuka eeh:doh:
Hivi watanzania tumelogwa, tumelaaniwa? Kwa nini kila mradi wa ujenzi mabarabara unafanywa na wachina? Hii ina maana gani kwetu wazawa? Na board yenu bora tu ivunjwe haina msaada wowote kwenu. Wachina niwakuchukia sana ni wezi
 
Last edited by a moderator:
punguza munkari kijana,
una hela wewe za kuendesha miradi hiyo?
wenzio wachina wankuja na hhela zao wanikop[esha serekali yako, je wewe unazo hela? hujasikia kuwa Tanroads wanadaiwa na hao wachina bil 300 ?
Ni hayo tu!

sasa kama tanroads wanakopeshwa na china na hizo hela wanazilipa taratibu kwani tanroads haiwezi kukopesha hizo hela hapa hapa nyumbani...mabenki yetu yote hapa hatuwezi kukopeshwa bil 300 tukatengeneza barabara zetu... mbona kuna vigogo wana hizo hela kwenye account zao...si watukopeshe...Mafisadi watano tu tayari wataweza kutupa hiyo hela watukope tutawalipa taratibu
 
njooni huku kenya muone wahandisi wa kichina wanavyoibadilisha Kenya. kenya sasa inabarabara za kisasa ambazo hazipatikani katika nchi yeyote ya afrika mashariki. kenya wana Thika Super highway.
 
Back
Top Bottom