Wahamiaji haramu 106 kutoka Somalia watinga Tanzania

idea

Senior Member
Apr 3, 2009
123
16
Watu wapatao 106 (wasichana wawili tu) wanaoonekana kuwa ni raia wa Somalia wamekamatwa katika ufukwe wa bahari ya Hindi karibu na kisiwa cha Jibondo wilaya ya Mafia. Watu hao inasadikika walikuwa njiani kuelekea msumbiji ndipo walitia nanga usiku wa tarehe 6.2.2011 kisiwani. Hali zao hazikuwa mbaya sana japo walionekana kuchoka sana na kukosa maji. Kwa sasa wako mikononi mwa serikali. Picha zitakuja baadae. Swali langu ni Je kitu gani kinafanya Somalia kusikalike? viongozi wa Tz wanajifunza nini katika hili?
 
Back
Top Bottom