Tina
JF-Expert Member
- Jul 9, 2007
- 572
- 579
Benki Kuu ya Tanzania imekua ikishirikiana na wafanyabiashara na wanasiasa wachafu katika kuwaingiza nchini wahalifu wa kimataifa na kwa kuanzia tunawafichua sasa wahalifu toka Nigeria waliopata kibali cha BoT na serikali kuongoza benki moja nchini,na inahofiwa kwamba sasa wamekuwa wakizitumia benki hizo kusafisha fedha chafu na kufanya vitendo vingine vya ufisadi na uhalifu mkubwa.
Kwa sasa tunaanza na Benki ya UBA ambayo CEO wake Ayobola Abiola, amehusishwa na uhalifu nchini Nigeria na kupatikana na hatia na hadi sasa ni mtu aliyethibitika kuwa mhalifu na vyombo vya serikali nchini humo.
Abiola naye ameingiza wenzake ambao wamekua wakishirikiana katika uhalifu huo na mbaya zaidi wamekuwa wakiwanyanyasa na kuwadhalilisha Watanzania wakitegemea jeuri toka kwa wafanyabiashara wachafu na watumishi wa BoT kuwalinda.
Kwa uchache, Abiola ana mahusiano na Tanil Somaiya na Johnson Lukaza na wote wamekua wakitumia UBA kufanya madudu yao. Hivi karibuni Lukaza alizuiwa na watumishi wazalendo kuchukua mamilioni ya fedha UBA lakini BoT wakamsaidia wakishirikiana na Abiola bila kujali kuwa ana kesi ya EPA.
Mmoja wa Mnigeria ambaye ameletwa na Abiola ni Mr. Imo Etuki amekuwa mbabe na mnyanyasai mkubwa wa staffs wa UBA na kuwa harras jinsi anavyotaka. wanaonyanyasika zaidi ni wale wanaohitaji kazi ni lazma utembee naye ndio akupe kazi na kama ni mwanaume huruhusiwi kuchekacheka au kuwa na mauhusiano ya karibu na msichana au mwanamke yeyote ndani ya bank atakutishia kwa kila namana ili uache kazi na uondoke. Huyu boss wa UBA ndio majuzi amewahi kutolewa kwenye mtandao mmoja kwa kutembea na wake za watu. Ni mchafu sana kwa siku analala na wanawake 3 na ni mtumiaji mzuri wa madawa ya kulevya.
Katika hali ya kusikitisha kabisa jana jioni alimkuta kijana 1 wa makao makuu ya UBA katika tawi la UBA kariakoo kuelekza junior staffs namna ya kuandaa memo za mikopo mida ya saa 2 usiku na kumharass vibaya mno. yeye Imo alikuwa ametoka head office kufukuzia msichana mmoja (jina linahifadhiwa) na kumkuta huyo kijana anafanya kazi hiyo ya kuelekeza na kumtushia kumfukuza kazi akamwambia haikuwa kazi yake kumwelekeza na ana ajenda ya siri. na ninvyoweka hii taarifa hapa si ajabu jamaa yuko kwenye disciplinary action na anaweza kufukuzwa au kuwa harrassed ili aache kazi. kutokana na manyanyaso ya hawa ma nageria tayari employee wa senior position 3 wameacha kazi akiwepo 1 wa 4 ambaye alikuwa nguzo ya hio bank kutimkia CRDB kutokana na ukorofi wa hao jamaa. Wamewashauriwa na kuelezwa kwamba sheria za TZ ni kali hasa kwenye ku treat employees na baada ya kuona hawabadiliki
Wanaigeria hao huingiza ndugu zao kufanya kazi nchini bila kibali na kuishi hapa. migration wana taarifa zao na walivamia hizo office mara kadhaa lakini hatujui wakishafikaga ndani wanapewa nini kwa vile hakuna hatua zinazochukuliwa. mfano ni head wao wa wa AUDIT Jerry ambaye amekuwa depoted mara kadhaa kwa kosa la kuingiza familia kinyemela nchini na kufanya kazi bila kibali.
Boss wa UBA Ayobola ABiola hawezi kufanya chochote kwa Imo kwa vile kuna tetesi kuna siri wanafichiana na tunafwatilia bado. Wamekuwa wakijitapa kuwa mama Gama wa BOT ni rafiki yao na hakuna ambacho wanaweza kufanyanywa.
Tunaomba serikali na wanaharakati wamfwatilie huyu bwana Imo Etuki na sheria kuchukuwa mkondo wake. Pia tunaomba uchunguzi ufanyike kuhusu intergrity ya viongozi wote na kama BOT ilifafanya uchunguzi kabla ya kuwaajiri ma boss hawa wanaotunyanyasia ndugu zetu nchini kwetu......jana ndugu yangu hakulala na ndio maana naandika kwa uchungu kiasi hichi