Wahadhiri waeneza siasa za chuki vyuoni

BIG UP Serikali- CHUNGUZA -CHUNGUZA - CHUNGUZA.

Jana nilikuta kikundi cha wakulima na pia wamachinga na kinyozi wakijadili kuhusu siasa badala ya kufanya kazi kujiletea maisha bora naomba tuwasiliane ili mtume wachunguzi wakawachunguze.

Kazi kwelikweli

Poor vision! Kwa hivi hatuwezi kufika popote
 
Siku ya nyani kufa miti yote huteleza.

Mwishowe CCM itaanza kusema kuna maofisa wakuu jeshini wanachochea chuki dhidi ya serikali.

Chuo kikuu sio VETA jamani.
 
Kama ni vyuo vya serikali, serikali kama mwajiri inayo haki ya kufuatilia uwajibikaji wa hao wahadhiri. No excuse. Contacts hours za wanafunzi wa kitz na wahadhiri bado ni chache kwa sababu ya understaffing na miundombinu hafifu, sasa si haki kwa hizo contact hours kiduchu mtu aanze kutema upupu wake wa politiking badala ya kutoa input zinazohitajika kwa kozi husika..taifa bado ni changa na halihitaji siasa kusonga mbele...if it was my call siasa ingepigwa marufuku tz.
 
This is a clear sign of totalitarianism, shameless totalitarianism at that.

I could write a whole piece shaming the gov on this. The gov should quit interfering with the varsity dons. That is a violation of separation of duties. The government should govern, teachers should teach.

Kujibu hoja ya Abdulhalim, kama serikali ina muajiriwa asiyefuata maadili ya ualimu, imchukulie hatua na kutoa ushahidi. Hizi habari za kupiga beat kiujumla jumla zinaonekana kama our own version of McCarthysm tu na kuwa keep watu in line wasiweze kutoa a genuine criticism of the government.

Wewe unategemea mie muhadhiri Chuo Kikuu naona uozo serikalini, halafu nafundisha something like "Development Studies" halafu nisiongelee matatizo yetu wenyewe? Sasa hao wanafunzi watakuwa wanajifunza nini? Viongozi wa kuweza kubadili mambo kesho tutawapata wapi?
 
SERIKALI inawachunguza wahadhiri wa vyuo vikuu nchini wanaotumia muda mrefu madarasani kuzungumzia siasa badala ya kufanya kazi zinazohusu taaluma.

Sasa wale wanaofundisha sayansi ya siasa sijui itawabidi wabadilishe mitaala ? Kikubwa kama sisiem bado in hela ya ku sponsor investigation kama hizi basi tutarajie zita extend mpaka shule za kata na kwenye masoko , vijiwe etc hapo ndipo watu wataacha kutumia muda mwingi kuzungumzia siasa badala ya kazi.
" UHURU ==> Kazi ya TANU", " UFISADI ==> Kazi ya sisie.." Lol
 
This is a clear sign of totalitarianism, shameless totalitarianism at that.

I could write a whole piece shaming the gov on this. The gov should quit interfering with the varsity dons. That is a violation of separation of duties. The government should govern, teachers should teach.

Kujibu hoja ya Abdulhalim, kama serikali ina muajiriwa asiyefuata maadili ya ualimu, imchukulie hatua na kutoa ushahidi. Hizi habari za kupiga beat kiujumla jumla zinaonekana kama our own version of McCarthysm tu na kuwa keep watu in line wasiweze kutoa a genuine criticism of the government.

Wewe unategemea mie muhadhiri Chuo Kikuu naona uozo serikalini, halafu nafundisha something like "Development Studies" halafu nisiongelee matatizo yetu wenyewe? Sasa hao wanafunzi watakuwa wanajifunza nini? Viongozi wa kuweza kubadili mambo kesho tutawapata wapi?

Kwa Tz, wanasiasa na hawa wahadhiri wote ni walewale tu, elitism at best na magenge ya wateule, wanataka wapewe free ride kwene kila ishu.. wote wana desturi moja..hawaongelei kitu mpaka maslahi yao (hususan ya kiuchumi) yanapoguswa. Wanataka kuongelea siasa lakini si kwa sababu wanakerwa saana na yanayoendelea kwa akina sisi huku mtaani..bali wanaona prospects zao kimaslahi na wengine kisiasa zipo shakani..hii ndio bongo ..look no further hata ufuatiliaji wa maslahi yao kati yao na wafanyakazi wa vyuoni wasiofundisha..u will get the picture..unafiki at best.

Mi nnavojua kuna standards literature huko madarasani ndio maana kuna mitaala..hivo kusema kuchukulia Tz kama mfano is non-issue, kitu cha kwanza wanachotakiwa kufanya ni kumaliza mitaala yao kama chuo kinavoelekeza..kama wanapenda siasa sana waache kufundisha na kuwaibia wanafunzi muda wao ambao wanastahili kupewa mihadhara yenye akili.
 
Hili hasa ndiyo inayosababisha policies zetu nyingi zina kuwa impractical. Unamfundisha mwanafunzi issues/cases za developed world ambazo contextually hazina mahusiano na zetu za kibantu kutokana na cultural differences na informal institutions set up ambazo kwetu ndiyo ziko legitimized kuliko hizo western. Utaona out put hii kwenye documented policies zote ndiyo maana theory na practice hazilingani. Chanzo kilikuwa nini? Zamani lectures walikuwa wanakuwa moderated kwa sababu za kikoloni na sisi bila kujua tuka rithi huo mfumo bila kujua impact yake. Ambacho hukijui ni kuwa hii set up ndiyo hasa inayofanya the dominant system ya hard wares na soft wares za kiwestern zinaendeleza ukoloni mamboleo kwa advantage ya economy yao.

Kutokana na practice yetu ya formal system ku follow established dominant system yao hii ina warahisishia monitoring na evaluation ya effectial foreign policies zao kwenye governance ya nchi zetu. Its time now for us to build our own dorminant system that goes in line with our cultural settings and available technology ili kujiondoa katika hii pathetic dependence kwenye western economies. This is what I am up to kama lecture na impact yangu huwezi amini itakavyokuwa kubwa na kama hii serikali yangu itaacha kunilinda mimi ninaye ikosoa ili niisaidie nchi kwa ku train vijana jinsi ya kujenga dorminant system na watawala kuamua kusaidia kuilinda western dorminant system ujue basi hawajui wanachokifanya.

Ndiyo maana natoa wito tena wizara hii iongozwe na mtu mwenye negotiation skills ambaye ataweza ku tap human resources iliyopo katika universities zetu kusaidia kuendeleza taifa badala ya kuwa defensive na kujaa inferiority complections ambazo matokeo yake ni hayo matamko ya huyo waziri.
 
Kwa kweli ninawapa pole sana wahadhiri wenzangu wa fasihi. Kwanza vitabu vitamu vya fasihi vingi vinajadili matatizo ya kijamii na namna ambavyo serikali ilivyo dhaifu katika kutatua matatizo haya.

Waandishi wanaokubalika ni wale wenye mtazamo kama wa Ngugi tofauti na hapo siwezi chagua kitabu cha mwandishi anayesifu serikali kwani sio wajibu wangu kusifu.

Huyo Mulugo ndiyo maana amesoma OUT angekwenda akakaa kampasi asingesema upuuzi wake. Ninamkumbusha na kumtaka huyu waziri atafute kitabu cha Issa Shivji Intellectuals at the Hill.

Humu ndani kuna makala nzito inayotafakari huo upupu anaousema. Wahadhiri tunaelewa gharama ya kujitenga na serikali puuzi ya CCM na tunasema tupo tayari kwa hilo na akileta ujinga wake kwa hakika patachimbika

Akhsante sana! tupo pamoja kaka! maana yake ni kwamba tutayahamisha mambo toka sebuleni hadi kibarazani.
 
Huyo kiongozi anayezungumza alisoma wakati gani? Maana nakumbuka wakati wa Mchonga siasa ndio ilikuwa somo kubwa na wakatokea kina wao, leo kuzungumzia hali halisi kabla ya vipindi imekuwa haramu?..

Ni lini wanasiasa wataacha kuingilia wataalam? Leo wanalaumu Tanesco hali kiongozi wake umewekwa na serikali, tender huzipendekeza wao na ni mwanasheria wa serikali ndio husimamia mikataba iliyotufikisha hapa, lakini kosa linapojitokeza lawama huachiwa shirika. . Ni wapi mipaka ya wanasiasa ktk kuingilia kazi na utendaji wa wataalam..
 
Hili hasa ndiyo inayosababisha policies zetu nyingi zina kuwa impractical. Unamfundisha mwanafunzi issues/cases za developed world ambazo contextually hazina mahusiano na zetu za kibantu kutokana na cultural differences na informal institutions set up ambazo kwetu ndiyo ziko legitimized kuliko hizo western. Utaona out put hii kwenye documented policies zote ndiyo maana theory na practice hazilingani. Chanzo kilikuwa nini? Zamani lectures walikuwa wanakuwa moderated kwa sababu za kikoloni na sisi bila kujua tuka rithi huo mfumo bila kujua impact yake. Ambacho hukijui ni kuwa hii set up ndiyo hasa inayofanya the dominant system ya hard wares na soft wares za kiwestern zinaendeleza ukoloni mamboleo kwa advantage ya economy yao.

Kutokana na practice yetu ya formal system ku follow established dominant system yao hii ina warahisishia monitoring na evaluation ya effectial foreign policies zao kwenye governance ya nchi zetu. Its time now for us to build our own dorminant system that goes in line with our cultural settings and available technology ili kujiondoa katika hii pathetic dependence kwenye western economies. This is what I am up to kama lecture na impact yangu huwezi amini itakavyokuwa kubwa na kama hii serikali yangu itaacha kunilinda mimi ninaye ikosoa ili niisaidie nchi kwa ku train vijana jinsi ya kujenga dorminant system na watawala kuamua kusaidia kuilinda western dorminant system ujue basi hawajui wanachokifanya.

Ndiyo maana natoa wito tena wizara hii iongozwe na mtu mwenye negotiation skills ambaye ataweza ku tap human resources iliyopo katika universities zetu kusaidia kuendeleza taifa badala ya kuwa defensive na kujaa inferiority complections ambazo matokeo yake ni hayo matamko ya huyo waziri.

Utajenga dorminant system gani ktk jamii iliojaa ubinafsi na umimi na watu wasiotekeleza wajibu wao? Kila mtu akichukua jukumu la kuibondea serikali mahali pake pa kazi nani atajenga taifa? Tuache unafiki wa kujenga urafiki na kila mtu anayepinga serikali hata kama falsafa na vitendo vyake vinaturudisha nyuma.
 
Mulugo jamani hakukaa chuoni elimu yake ni ya nyumbani,open Univ.hajui kinachoendelea huko.Kawambwa si alikuwa mwalimu au?amesahau?
 
Back
Top Bottom