Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,550
- 6,062
Very simple ku-deal na hii issue,
Funga university za umma peleka watoto wote university za kanisa st..augustine wakasome mapambio
Mwaka huu Kikwete hadi atangaze mwenyewe kuachia kazi. Wewe mpambe wake kama unafikiri Watanzania bado wamelala, basi kalaga baho. Mtasiliba sana tu mwaka huu ila mwisho wa siku Mafuta na maji yatajitenga. Kama mnafikiri bado tutaendelea kucheza mnavyotupigia ngoma, basi lazima mfahamu sasa tunaanza kungangamara.
Pamoja na Uzembe wa huyo jamaa yako, kuweka sahihi kwa Mbwembwe sheria ya UCHAGUZI, kumbe sheria wenyewe wajanja (inawezekana ni wewe) walimchomekea. Kama si msomi aliyesomea KANISANI (Dr. Slaa) basi hadi leo ingelikuwa inadunda. Ona sasa mmemponza jamaa yako. Yaani kaonekana anachezewa kuanzia na akina Ruge, Kusaga, Makamba, hadi na watendaji wake wa karibu wanamshauri vibaya.
Lazima NIKIRI kuwa KIKWETE kwa UTAWALA wake, ATAIBADILI Tanzania milele. Ndugu Rais Kikwete, kwa hili nasema ASANTE sana. Baada yako Tanzania haitakuwa ile ile. Utawala wako umetufanya Watanzania tuwe WATU WAZIMA. Nani alitegemea kuwa kuna siku Watanzania wataanza kudai haki zao kwa nguvu namna hii? Ona hata sheria ya MADINI, watu wameiweka kiti moto sheria ya zamani hadi KIMEELEWEKA. Najua mlilazimishwa ila angelikuwa Rais Mbabe, basi yangelibadilishwa machache.
Malizieni kwa kuweka sheria kuwa kila uwezekezaji Tanzania, lazima asilimia Minimum kadhaa ziwe kwa ajili ya Wazawa. Hata zile ambazo tayari zimeshawekezwa. Hii itasaidia sana Watanzania kuwa OWNER wa nchi yao hatimaye. Na mwisho kutimiza ahadi yako ya MAISHA mazuri kwa Watanzania wote (milele hawatakuwa wote, ila walau wengi).