Wahadhiri UDSM semeni ukweli

kipindupindu

JF-Expert Member
Dec 16, 2010
1,053
170
Nimepata habari kuwa mshahara wenu wa mwezi april kwa mara ya kwanza ulikuja tar 7.hii inaonyesha serikali ilivyoishiwa.mkulo anabisha nini?
 
Ni kweli....nilikuwa ofisi ya UDBS hadi ijumaa ya tarehe 6.5.2011 walikuwa wanabishana wengine wamewekewa NBC wengine bado....
 
Nimepata habari kuwa mshahara wenu wa mwezi mei kwa mara ya kwanza ulikuja tar 7.hii inaonyesha serikali ilivyoishiwa.mkulo anabisha nini?

Kama tayari mshahara wa Mei wamepokea Mei 7 hiyo kali sana. Na SMT inastahili pongezi japo ni kosa kisheria kulipa mshahara kabla kufanya kazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom