Baadhi ya wahadhiri(doctors na maprofesa) wa chuo kikuu cha Dodoma wanaishi na familia kwenye hoteli za kifahari mkoani Dodoma kwa kutumia pesa za mlipa kodi mnyonge wa kitanzania.Kwa muda wa zaidi ya miezi kumi hadi hivi sasa.hoteli wanazoishi ni pamoja na Dodoma grand hotel,new Dodoma hotel,cana lodge,na nyinginezo.Wadau hii ni halali au ni matumizi mabaya ya fedha za watanzania hasa ukizingatia nyumba zinapatikana Dodoma kwa bei nafuu? Naomba kuwasilisha.