Wagosi wa kaya wanahitajika tena...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Katika hali tuliyonayo,lile kundi la muziki wa kizazi kipya lililotamba na nyimbo kama 'Tanga Kunani','Wauguzi','Wasafiri','Trafiki','Umeme na Maji' na nyinginezo la Wagosi wa Kaya linahitajika sana muda huu.Kundi hilo lililokuwa likiundwa na Mkoloni pamoja na Dr.John ndilo,kwa maoni yangu,kundi pekee lililokuwa linathubutu kuimba ukweli juu kilichokuwa kikiendelea kila siku katika Tanzania yetu.Wagosi wa Kaya walithubutu kusema.Wanamuziki wengi wa sasa wako busy na nyimbo zao za mapenzi tu wakiacha mambo ya msingi yanayogusa maisha yetu ya kila siku.Wagosi watusaidie kuiweka kando CCM yenye jeshi la mabomu na wauwaji...

Shime Mkoloni mtafute Dr John muendelee kutokea pale mlipoishia.Wana JF mnasemaje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom