wagonjwa

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Katika hospitali ya wenye matatizo
ya akili daktari alikuwa anataka
kuwapima wagonjwa watatu
wakaletwa ofisini kwake
akamuuliza wa kwanza,'Tatu
mara tatu ngapi?' , Mgonjwa
akajibu '200'. Akamuuliza wa
pili,'Tatu mara tatu ngapi?'
Mgonjwa akajibu,'Jumamosi".
Hatimae daktari akamuuliza
watatu,'Tatu mara tatu ngapi?.
Mgonjwa akajibu 'Tisa' . daktari
akafurahi sana akajua japo huyu
ana maendeleo. Akamuuliza
mgonjwa,'Umepataje jibu?'
Mgonjwa akasema,'Rahisi sana,
200 kutoa Jumamosi inabaki 9'
 
hiv we Level ni daktari wa vichaa?? by te way naskia mnataka kugoma hivi kwa nini msitafute another worse means to deal with them (PINDA and the like) bila kugomaaaa?? shit
 
hiv we Level ni daktari wa vichaa?? by te way naskia mnataka kugoma hivi kwa nini msitafute another worse means to deal with them (PINDA and the like) bila kugomaaaa?? shit

kaka mi ndo hapa hapa wodi yao sasa hivi
 
Back
Top Bottom