Wagonjwa nane wa mlipuko wa bomu Arusha kufikishwa hospital ya taifa Muhimbili

mkisyeli

JF-Expert Member
May 6, 2013
260
76
Taarifa ambayo nimeipata sasa hivi hapa ni kuwa wagonjwa nane kati ya 56 wa mlipuko wa mabomu mkoani Arusha wanatarajia kutua na ndege saa nane mchana wa leo kutokana na hali zao kuwa mbaya na hii pia inamaana ya kuwa Hospitali zetu hazina uwezo wa kutosha mpaka kuwahamisha wagonjwa katika hospitali za rufaa??
 
God knows that you were innocent. Devine Order will take charge and see that you recover fast. As you all know - Doctor dresses the wound but God heals it. Get well soon!
 
Back
Top Bottom