Wagonjwa Muhimbili walia adha ya mgomo

TBC nimeona wameonyesha kuwa Madr wachahche wamerudi hospitali ya rufaa Mbeya na shangaa wameshindwa kufika Muhimbili, any way ngoja tusubiri
 
anasema atapitia Jamaika kubembea, maana amemiss bembea kitambo sana.
bembea_1.jpg
 
na sisi tungelianzisha kudai bima za ndugu zetu wanaokufa kwa kukosa huduma
 
Huu ni uongo, nipo Muhimbili na huduma zinaendelea vizuri.
Madaktari wanawajibika kama kawaida.
Wale walioandaliwa iwapo mgomo ungeendelea wameombwa wasubiri kwanza.

Tuwe na ustaarabu wa kuweka ukweli kwenye jamvi.

Faiza Foxy and malaria sugu likes this post
 
BBC leo wametembelea muhimbili na kuwahoji watu waliokua wanalia baada ya kufiwa na ndugu zao...mmoja wa mama aliekua anahojiwa uku analia kwa machungu kua mume wake ana siku zaidi ya tatu hajapata huduma mpaka amefariki leo....then baadee nikasikia makundi ya kinamama yakilia kwa machungu baada ya vifo..sambamba na hilo na wauguzi wa hapo muhimbili nao wamesema wanaanza mgomo rasmi kwani hawaon haja ya wao kwenda kwani hakuna dakitari wa kuandika dawa...sipati picha hali ikiendelea hivi....PINDA anaweza akawatisha maditari kurudi makazini lakini ajue watu watakufa zaidi ya sasa...
 
so sad wandugu. tatizo ni tamaa ya madaraka waliyonayo watanzania hasa hawa magamba utadhani wameandikiwa na Mungu kuwa lazima wawe madarakani. Shame on them all.......

Nadhani pinda kama anadhani ni rahisi kwa madaktari kiasi hicho basi amechemsha kwa mtu mwenye akili kitendo cha kumpiga chenga jana ni dhahiri madaktari walipata taarifa za kiintelijensia kutoka jikoni kuwa PM hakuwa na jipya hivyo wasepe tu na wamwache kwenye mataa.

Na bado huo mwanzo tu mwaka huu yapo mengi mabaya yanakuja zaidi ya hili ni suala muda tu tusubiri
 
Kwa masikitiko makubwa nimemsikia mama huyo akilia kwa uchungu sana!alafu pinda anawaadaa watanzania kuwa jkt na jw waingie kazini jamani hawa jkt si wataalamu wao ni watu waliofunwa tu kutoa huduma ya kwanza kwenye majanga kama vita,ajali na mengine!!!jkt ni darasa la saba ndugu zangu tangu lini wakaweza kupiga x ray?
 
Laana kwa ccm na serkal yao wanajdai ni serkal ckiv wakat hawana jipya. Damu na machoz haya yatawaandama milele.
 
Wakati mwingine ukifikiri vizuri huchelei kuwaona hawa viongozi wa Tanganyika kama mabumunda, mataahira na majuha flani, kweli kabisa hawaoni umuhimu wa raia wa nchi hii, wanawakomoa madaktari au wananchi.
Mbona kila anaekuwa kiongozi hujiona Mungu-mtu?
Gharama za kutalii kila uchwao jamaa wanazo lakini zakufanya mambo ya msingi hawana
 
TUGHE muhimbili wametoa tamko leo..na kusema wanaomba tamko la Pinda kuwafukuza madaktari alifute.
 
Kwa hakika hali ni mbaya na itakuwa mbaya sana kama jambo hilo halitachukuliwa kwa umakini.

Ni bora kukawa na mawasiliano ili kunusuru hali hii ya vifo wasio na hatia.
 
TUGHE muhimbili wametoa tamko leo..na kusema wanaomba tamko la Pinda kuwafukuza madaktari alifute.

Mabavu Vs Utaalamu always mabavu yame prove failure. Ngoja tuone na substitute ya baadhi ya vitu ni gharama kuliko inavyodhaniwa.
 
Back
Top Bottom