Wagombea wa Urais 2015...

yes makamanda we are less autonomous on this let leave it to magambaz over.
 
Makamba can be play a crucial role IF we are looking for a person to go after wachawi...
 
Slaa ana miaka mingapi ? Halafu amemtelekeza mkewe ,kwa ufupi hafai kuwa Raisi kutokana na tabia hio na tukio hilo.
acha maneno yenye harufu ya papa nguru, kwani Lipumba anamke mbona anagombea! je Kikwato (no, namaanisha mzee wa safari) mbona anavimada kipao na ni..............kama huna la kusema si usome thread tu, si lazima uchangie pumba zako. ninacho kijua rais wa tanzania ni Kikwete na Dr Slaa ndo Rais wa Watanzania.
 
Ninataka kugombea kwa kupitia JF; je nitapata sapoti? Ninahitajiwa kuwekeza pesa trilioni ngapi katika kuendesha kampeini za uchaguzi?
 
Ndugu zanguni,

Nimeangalia safu za vyama vyote nchini na kuona kwa haraka haraka CCM wana majina kama kumi ambayo ukiwakabidhi nchi wataingia kazini mara moja na kukubalika, wakati Chadema wana jina moja tu amabalo linalazimisha tu kugombea urahisi wakati wote pamoja na yeye mwenyewe wanajua hana hizo sifa na hafai, pia wana majina mengine mawili matatu ambayo hata wenyewe hujicheka.

Majina ambayo mimi binafsi nawaona wanaweza kwa CCM ni

Mheshimiwa MIZENGO PINDA
Mheshimiwa BENARD MEMBE
Mheshimiwa EDWARD LOWASA
Mheshimiwa SAMWEL SITTA
Mheshimiwa MWIGULU NCHEMBA
Mheshimiwa JANUARY MAKAMBA
Mheshimiwa JOHN POMBE MAGUFULI
Mheshimiwa WILLIAM NGELEJA
Mheshimiwa LAZARO NYALANDU
Mheshimiwa SOSPETER MUHONGO
Mheshimiwa MARK MWANDOSYA
Mheshimiwa MWAKYEMBE na wengine wangi tu

Majina kwa upande wa Chadomo ni

Dr WILBROAD SLAA
Dr GOBLBLESS LEMA
Dr SUGU
Dr MBOWE

Hapa sidhani kama kuna upinzani, baaado sana..
 
ndugu zanguni,

nimeangalia safu za vyama vyote nchini na kuona kwa haraka haraka ccm wana majina kama kumi ambayo ukiwakabidhi nchi wataingia kazini mara moja na kukubalika, wakati chadema wana jina moja tu amabalo linalazimisha tu kugombea urahisi wakati wote pamoja na yeye mwenyewe wanajua hana hizo sifa na hafai, pia wana majina mengine mawili matatu ambayo hata wenyewe hujicheka.

Majina ambayo mimi binafsi nawaona wanaweza kwa ccm ni

mheshimiwa mizengo pinda
mheshimiwa benard membe
mheshimiwa edward lowasa
mheshimiwa samwel sitta
mheshimiwa mwigulu nchemba
mheshimiwa january makamba
mheshimiwa john pombe magufuli
mheshimiwa william ngeleja
mheshimiwa lazaro nyalandu
mheshimiwa sospeter muhongo
mheshimiwa mark mwandosya

mheshimiwa mwakyembe na wengine wangi tu

majina kwa upande wa chadomo ni

dr wilbroad slaa
dr goblbless lema
dr sugu
dr mbowe

hapa sidhani kama kuna upinzani, baaado sana..

ondoa hao kenye red kwani hawana mpango huo,
pia kuna hawa hapa umewasahau
1. Pro. Anna tibaijuka
2. Steven wassira
 
km watagombea kura yangu itaend kwa lowasa au prof.mwandosya si wengne hao mwakyembe jimbo lake la kyela tu limemshinda
 
unajielewe wewe? majina ya ccm uliotaja ayo naona kama ni vivuli tu, hakuna mtu wa ukweli apo. kati yote uliotaja kuna jina moja tu yaan lowasa ndie anaogopesha lakn wengne hamna kitu.
 
naona umeorodhesha majina ya watuhumiwa wa ufisadi wa ccm. woote hao ndio kisababishi cha trill 30 deni la taifa.
 
Back
Top Bottom