Wagombea wa Urais 2015...

:flypig:
Hapana, bwana mwacheni Prof wa ukweli, mimi naona ni afadhali yeye kuliko hii Kampuni ya conservative democratic Monopoly(CDM)
chadema atasimama dr wa ukweli ccm huwezi juwa leo mpaka wapigane zengwe kwanza ndo apatikane wa kugombea saiz nimapema sana.
 
kwa nn prof lipumba asiwachie wengine na wao wajaribu?????mbona ni yy kila uchaguzi mpaka chama kinakosa mvuto bhana

Jamani, si tumesema huyo ndiyo GT, ana degree 4 za uchumi, ni bright ndani na nje ya nchi, sauti ya usingizi, sasa mwingine ni nani ? Huyo ndio chaguo letu ndani ya chama ! ameishatuambia kuwa Marekani isingefika pale bila yeye !
 
Sio utabiri,ni maono. Hawa watatu ndio watakaokuwa Wagombea wa Urais wa Tanzania wenye nguvu 2015. Makwarukwaru ya kila aina yatapita vyamani mwao. Wao ndio watakaogombea. Ni hawa: 1. Dr. Wilbrod Peter Slaa- CHADEMA 2. Edward Ngoyai Lowassa-CCM 3. Prof. Ibrahim Haruna Lipumba-CUF. Ni vyema tukajielekeza kwao na kuandaa kura zetu za Oktoba 2015. Ndivyo itakavyokuwa...
Kwanini mnalifanya suala la uraisi kama ni la mtu binafsi?? Watanzania tupo zaidi ya milioni 40.....hivi unataka kuniambia kuwa ni hao tu ndiyo wanafaaa kugombea??? Tunahitaji sura mpya sio watu walewale kila uchaguzi unapofika.....ttusiimilikishe nafasi ya kugombea uraisi....... mbona wapo wengi tuu... Lema, Nape, shibuda, Lusinde...nk
 
Nakubaliana na wewe 100%.Sio kwa sababu nampenda Lowasa,ila kwa sababu ndio ukweli.
Sio utabiri,ni maono. Hawa watatu ndio watakaokuwa Wagombea wa Urais wa Tanzania wenye nguvu 2015. Makwarukwaru ya kila aina yatapita vyamani mwao. Wao ndio watakaogombea. Ni hawa: 1. Dr. Wilbrod Peter Slaa- CHADEMA 2. Edward Ngoyai Lowassa-CCM 3. Prof. Ibrahim Haruna Lipumba-CUF. Ni vyema tukajielekeza kwao na kuandaa kura zetu za Oktoba 2015. Ndivyo itakavyokuwa...
 
Slaa ana miaka mingapi ? Halafu amemtelekeza mkewe ,kwa ufupi hafai kuwa Raisi kutokana na tabia hio na tukio hilo.

hatutaki vijana tena hawachelewi kwenda jamaika kubembea, wanawafata wakina 50cent na bekamu kupiga nao picha ulaya, wanawaita wahuni wakaina WEMA na DIAMOND kwenda jumba takatifu ikulu,. Hatutaki tena rais asietambua anawake wangapi na watoto wangap,. Tutampa slaa kwa sababu ya umri wake, uwezo wake kupendwa kwake na elim yake
 
Hapana, bwana mwacheni Prof wa ukweli, mimi naona ni afadhali yeye kuliko hii Kampuni ya conservative democratic Monopoly(CDM)

mama yangu kama ulilala vile gafla ukastuliwa kwa nyuma afu bada kukulupuka hujamuona alie kustua ukabak unatukana ovyo na kuropoka ovyo, jipange bwana ongea kama GT
 
Watever the nominees bt the game will be tough........we have learned alot from this govrnment anour mp's.........so am keen an enthuastic 4 2015 general election!
 
ufalme kule cuf hauna kikomo kama utawala wa gadafi, kuuondoa inahitaji vuguvugu la mageuzi kama la waarabu kule syria, misri, tunisia na libya
 
chadema ni mbowe au slaa. ccm ni membe au lowassa au magufuli au sumaye au sitta au salim [ kwa kifupi kila mtu anasikilizia]. cuf ni lipumba hana mtu wa kumpinga huyu atagombea mpaka akifa.
 
Shehe yahya kafufufka ama umerithi kwake ama lowasa kakutuma?

Looh jamani hata mtazamo wa mtu basi Lowasa kakutuma!!!! lakini mnazidi kumpa umaarufu mkidhani mnambomoa KWANI NAWE NANI KAKUTUMA?? Let us build a democratic forum on jf
 
hatutaki vijana tena hawachelewi kwenda jamaika kubembea, wanawafata wakina 50cent na bekamu kupiga nao picha ulaya, wanawaita wahuni wakaina WEMA na DIAMOND kwenda jumba takatifu ikulu,. Hatutaki tena rais asietambua anawake wangapi na watoto wangap,. Tutampa slaa kwa sababu ya umri wake, uwezo wake kupendwa kwake na elim yake

hapo kwenye elimu ni ya kikanisa
 
sio utabiri,ni maono. Hawa watatu ndio watakaokuwa wagombea wa urais wa tanzania wenye nguvu 2015. Makwarukwaru ya kila aina yatapita vyamani mwao. Wao ndio watakaogombea. Ni hawa: 1. Dr. Wilbrod peter slaa- chadema 2. Edward ngoyai lowassa-ccm 3. Prof. Ibrahim haruna lipumba-cuf. Ni vyema tukajielekeza kwao na kuandaa kura zetu za oktoba 2015. Ndivyo itakavyokuwa...

ccm ina watu wengi makini ambao ikiweka hata mpiga kura hajiulizi nani wa kumpigia lakini chadema amebaki babu sklaa ambaye kwa hali ya afya yake sijui hiyo 2015 itakuwaje maana naona mkono tayari hauna kazi
 
Hivi ni kwanini kunakuwa na uhasama mkubwa kati ya wapenzi wa CUF na CMD? Hivi vyote ni vyama vya upinzani na kimsingi kwa sasa vinatakiwa viwe vinapinga kile chama kinachotawala. Sio CUF wala CDM walioko madarakani!
 
Back
Top Bottom