Wagombea wa Urais 2015...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,800
Sio utabiri,ni maono. Hawa watatu ndio watakaokuwa Wagombea wa Urais wa Tanzania wenye nguvu 2015. Makwarukwaru ya kila aina yatapita vyamani mwao. Wao ndio watakaogombea. Ni hawa: 1. Dr. Wilbrod Peter Slaa- CHADEMA 2. Edward Ngoyai Lowassa-CCM 3. Prof. Ibrahim Haruna Lipumba-CUF. Ni vyema tukajielekeza kwao na kuandaa kura zetu za Oktoba 2015. Ndivyo itakavyokuwa...
 
Nakubaliana na wewe aswa hao ndio watashindana hamna zaidi zingine zote ni mbwembwe za siasa tu.
 
Sio utabiri,ni maono. Hawa watatu ndio watakaokuwa Wagombea wa Urais wa Tanzania wenye nguvu 2015. Makwarukwaru ya kila aina yatapita vyamani mwao. Wao ndio watakaogombea. Ni hawa: 1. Dr. Wilbrod Peter Slaa- CHADEMA 2. Edward Ngoyai Lowassa-CCM 3. Prof. Ibrahim Haruna Lipumba-CUF. Ni vyema tukajielekeza kwao na kuandaa kura zetu za Oktoba 2015. Ndivyo itakavyokuwa...
Ahsante Sheikh Yahaya Hussein junior
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Sio utabiri,ni maono. Hawa watatu ndio watakaokuwa Wagombea wa Urais wa Tanzania wenye nguvu 2015. Makwarukwaru ya kila aina yatapita vyamani mwao. Wao ndio watakaogombea. Ni hawa: 1. Dr. Wilbrod Peter Slaa- CHADEMA 2. Edward Ngoyai Lowassa-CCM 3. Prof. Ibrahim Haruna Lipumba-CUF. Ni vyema tukajielekeza kwao na kuandaa kura zetu za Oktoba 2015. Ndivyo itakavyokuwa...

Shehe yahya kafufufka ama umerithi kwake ama lowasa kakutuma?
 
Slaa ana miaka mingapi ? Halafu amemtelekeza mkewe ,kwa ufupi hafai kuwa Raisi kutokana na tabia hio na tukio hilo.
 
ama hujui kutabiri ama umeanzisha baraza ukiwa huna hoja.Unafananan na mwanafuinzi aliyepata jibu la swali la hesabu kwa wizi nna sasa hana njia ya kufikia jibu.Slaa, Lowassa, Lipumba=?
 
Mleta mada mnaweza mkamshangaa lakini alichotabiri kina asilimia kubwa sana kutokea, Dr Slaa hakuna wa kumzuia asigombee na ndio chaguo la wananchi walio wengi kwa sasa (hata baadhi ya maeneo ya nchi anapokewa kama raisi na wenyeji mfano Mbeya, Mwanza, Arusha), Lowasa bado ana mtandao tihifu kwake na wenye nguvu za kimahamuzi na pesa (wafanyabiashara) ndani ya ccm, Prof Lipumba kule CUF bado kuna usultani, ufalme, uchifu, hakuna mtu wa kumpinga.
 
Aiseeee babaangu hapo kwa chadema umepatia ila kwa c c msina uwakika lakini kwa caf watamsimamisha mtatila
 
Sio utabiri,ni maono. Hawa watatu ndio watakaokuwa Wagombea wa Urais wa Tanzania wenye nguvu 2015. Makwarukwaru ya kila aina yatapita vyamani mwao. Wao ndio watakaogombea. Ni hawa: 1. Dr. Wilbrod Peter Slaa- CHADEMA 2. Edward Ngoyai Lowassa-CCM 3. Prof. Ibrahim Haruna Lipumba-CUF. Ni vyema tukajielekeza kwao na kuandaa kura zetu za Oktoba 2015. Ndivyo itakavyokuwa...

Namba 1 na 2 weka x kubwa, namba 3 sawa huyo tumezoea. Pia naomba kuongezea, ADC-ZITTO ZUBERI KABWE(V)
 
Mleta mada mnaweza mkamshangaa lakini alichotabiri kina asilimia kubwa sana kutokea, Dr Slaa hakuna wa kumzuia asigombee na ndio chaguo la wananchi walio wengi kwa sasa (hata baadhi ya maeneo ya nchi anapokewa kama raisi na wenyeji mfano Mbeya, Mwanza, Arusha), Lowasa bado ana mtandao tihifu kwake na wenye nguvu za kimahamuzi na pesa (wafanyabiashara) ndani ya ccm, Prof Lipumba kule CUF bado kuna usultani, ufalme, uchifu, hakuna mtu wa kumpinga.

Sasa angalia majimbo anayopokewa SLAA kwa wingi kwa mtazamo wako, subiri kinyume chake hiyo 2015, SLAA atalia vizuri sana kuliko alivyomlilia mtu ambaye chama chake ni chanzo cha kifo chake. Hivi kwanza MBOWE anajisikiaje kuwekwa kando na urais wa 2015? acheni kugombanisha watu jamani vibaya hivyo. Huyu ZITTO tuachane naye kisha washinda. Mnataka tena bifu ianze kati ya SLAA na MBOWE, yaani mnamfanya Mwenyekiti anakuwa kama mti wa kutupia jongoo.
 
Bendera ya chadema itapeperushwa na MH SHIBUDA
Asante Mkuu, ili kuondoa makundi ndani ya chama hicho itabidi iwe hivyo, nasikia kaanza kuutaka uwenyekiti mapeema ili kujiweka pazuri kwa ajili ya mchakamchaka wa kuwania urais.
 
ama hujui kutabiri ama umeanzisha baraza ukiwa huna hoja.Unafananan na mwanafuinzi aliyepata jibu la swali la hesabu kwa wizi nna sasa hana njia ya kufikia jibu.Slaa, Lowassa, Lipumba=?

Hayo ni maoni yake, yako ni yapi?
 
kwa nn prof lipumba asiwachie wengine na wao wajaribu?????mbona ni yy kila uchaguzi mpaka chama kinakosa mvuto bhana
 
Slaa ana miaka mingapi ? Halafu amemtelekeza mkewe ,kwa ufupi hafai kuwa Raisi kutokana na tabia hio na tukio hilo.

Yule mke wake alijipendekeza kuhama CCM, akijua baba anakuwa Rais na yeye lady no 1, matokeo yake Jamaa akashindwa na sababu kubwa ikawa kwamba hana nyota , ikabidi atafute mwenye nyota(JOSEPHINE) tusubiri tuone, ila naona kama huyu ndo nuksi zaidi!
 
kwa nn prof lipumba asiwachie wengine na wao wajaribu?????mbona ni yy kila uchaguzi mpaka chama kinakosa mvuto bhana
Hapana, bwana mwacheni Prof wa ukweli, mimi naona ni afadhali yeye kuliko hii Kampuni ya conservative democratic Monopoly(CDM)
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom