Wagombea wa CCM waanza kampeni msibani Arumeru

Wizzo

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
723
255
mmoja wa wagombea kwa jina elileema anaetarajia kuchukua form jumatatu kwa tiketi ya ccm ameanza kampen kwenye msiba uliotoke leo ktk kijiji cha mbuguni..naona wafuasi wa chadema wameamua kumpigia cm mh Nasari aje nae kwenye msiba.yangu macho ngoja nione mwisho wake
 
CCM na siasa za misibani wamerithi kutoka kwa mwenyekiti wake, pale alipo maindi Dr slaa kukataa kwenda kumsabahi kwenye mazishi ya Regia.
 
423659_10150628595258620_818678619_9077027_1378115815_n.jpg
 
namuona nae mgombea wa cdm Nassari amekuja msibani.sijui mda wa rambirambi ukifika itakuaje
 
Huyu anatakiwa arudi Mwanza, kwani huko hata hawamjui.atapoteza pesa zake bure.
 
namuona nae mgombea wa cdm Nassari amekuja msibani.sijui mda wa rambirambi ukifika itakuaje

Haa ndugu yangu, watu wa ARUMERU sasa hizi ni wakati wa mavuno, kufa kufaana, kila mtu atajigonga kivyake na wafiwa ndo kwanza alhamdulilah... mnyazi Mungu kawakumbuka!
 
Back
Top Bottom