Wagombea urais wa vyama vya siasa vitakavyoshindwa kuingia bungeni...

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
Ni vyema sasa sheria za uchaguzi zikarekebishwa ili angalau mshindi wa pili na watatu waliogombea uraisi kwa vyana vya siasa watakao shindwa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu kuingia bungeni,hii itasaidia sana kwa wale wenye malalamiko au majeraha ya kisiasa kupata mahalipa kutolea madukuduku yao,na pia ili serikali ipate michago yao ambayo italisaidia taifa kupiga hatua.tumeshhudia wagombea wengi wenyeuwezo wakiachwa na michango yao ikipotea na pengine kuzaraulika kwa sababu tu hawana mahali sahihi pakusemea na michango ingelisaidia sana taifa kwani wangewawakilisha watanzania wengi waliowachagua kipindi cha uchaguzi mkuu na wananchi tungepata muda mzuri wa kuwatathimini na kùwapima.
 
wakawawakilishe nani huko bungeni?? Si utazuka utitiri wa vyama vyenye wagombea wasiojigusa hata kupinga kampeni wakijua wanakula bingo ya kuingia bungeni?? Hatuwataki hao watanunuliwa kirahisi....
 
I see there is a point here. Tungeweza kuweka percentage limit, say asilimia 5% ya kura zote. Imagine watu 2, 000, 000 ya watanzania waliokuwa na imani na mtu fulani kwa sababu ya sera na mtazamo wake, wakakosa uwepo wa mtu huyu bungeni! Kwa hiyo leo tungekuwa tunafaidi uwepo say wa akina Dr Slaa, Lipumba na wengine Bungeni kuliko kuwa utitiri wa hopeless people in the name of 'Viti maalumu', ambao kazi wengine ni mipasho na kusema ndioooooooooooo.
 
Ni hoja nzuri lakini kwanza tulisafishe bunge letu la sasa lenye wawakilishi miambili na kitu lakini mwisho wa siku tuna wala kodi 300 na!

Tukiondoa viti maalumu na zile nafasi kumi za raisi kuteua wabunge bila shaka tutakuwa na bunge dogo lenye kujaziwa na watu watatu walioshindwa uraisi!

Hapo naamini taifa litapata krimu ya kweli kuliko wagonjwa wanaolala na wanaobwabwaja kila mara bungeni huku wakitafuna vinono vya nchi hii kwa jasho la sisi makabwela wavuja jasho!
 
Kinachokosekana ni ile kitu inaitwa "fair play" kama kwenye mpira, mwenzako akiumia unatoa mpira nje. Kuna busara kubwa kwenye utamaduni huu wa soccer. Rais aliyeapishwa alipaswa kufanya "fair play" ya kumteua mwenzake kuwa mbunge. Kwa mfano, badala ya Kikwete kumteua Mbatia aliyekataliwa hata na watu wa kawe mpaka akawa wa tatu kwenye uchaguzi, angemteua Dr. Slaa aliyekubaliwa na watanzania zaidi ya milioni moja. Ila ili hilo liwezekane ni wajibu wa yule aliyeshindwa kukubali kushindwa.
 
mchango kwa maendeleo ya taifa sio lazima mtu awe mbunge ni sawa sawa na kumchagua mbunge anayetumia fedha zake mwenyewe kuleta maendeleo,ukichunguza kwa umakini utakuta ni mfanyabiashara anayeliibia taifa 100 na kurudisha 10,jiulize mtu kama huyo alishindwa kutoa misaada yake ya maendeleo mpaka awe mbunge ? kulikomboa taifa sio lazima uingie kwenye siasa,kuingia kwenye siasa sio lazima uwe diwani,mbunge au rais,unaweza kuongoza kwa ku-monitor wawakilishi wa chama chenu kusimamia mnachokiamini kama chama ...Bunge hivi sasa limegeuka taasisi ya kutafuna fedha tu. Kama mtu anataka kuchangia anaweza kutumia wabunge wa chama chake ambao ndio wasimamizi wa sera anazoziamini. Kupunguza gharama za uendeshaji wa serikali siungi mkono hoja.
 
wakawawakilishe nani huko bungeni?? Si utazuka utitiri wa vyama vyenye wagombea wasiojigusa hata kupinga kampeni wakijua wanakula bingo ya kuingia bungeni?? Hatuwataki hao watanunuliwa kirahisi....

ungefikiria kidogo badala ya kukurupuka usinge jibu ulivyo jibu
 
Ni vyema sasa sheria za uchaguzi zikarekebishwa ili angalau mshindi wa pili na watatu waliogombea uraisi kwa vyana vya siasa watakao shindwa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu kuingia bungeni,hii itasaidia sana kwa wale wenye malalamiko au majeraha ya kisiasa kupata mahalipa kutolea madukuduku yao,na pia ili serikali ipate michago yao ambayo italisaidia taifa kupiga hatua.tumeshhudia wagombea wengi wenyeuwezo wakiachwa na michango yao ikipotea na pengine kuzaraulika kwa sababu tu hawana mahali sahihi pakusemea na michango ingelisaidia sana taifa kwani wangewawakilisha watanzania wengi waliowachagua kipindi cha uchaguzi mkuu na wananchi tungepata muda mzuri wa kuwatathimini na kùwapima.
Sikubaliani na wazo lako. Labda tuwe na mfumo kama wa Kenya unaoruhusu kugombea urais na ubunge. Akishindwa urais akashinda ubunge, aingie bungeni. Lakini akipigwa chini vyote abakie nje akajipange vyema.
 
wazo lako ni zuri sana ila kwa siasa hizi za majitaka hapa bongo sahau kabisa...kama suala la mgombea binafsi linapingwa ili kuilinda serikali ya magamba unafikiri hili litawezekana??
 
Mimi ninafikiri tungeiga utaratibu wa Kenya.

Kwanza Kenya ili uwe RAIS kwanza lazima ushinde UBUNGE katika jimbo ulilogombea. Hivyo wagombea URAIS wote nchini Kenya Pia wanakuwa wagombea UBUNGE katika majimbo yao.

Kama mgombea URAIS anakubalika katika jimbo, atachaguliwa kuwa MBUNGE. Ikitokea akashindwa URAIS basi atabakia na UBUNGE wake. Mfano Raila Odinga wakati anagombea URAIS wa Kenya, Pia aligombea UBUNGE wa Lang'ata. "Alishindwa" URAIS lakini akapata UBUNGE.

Badala ya kupendekeza kwamba mtu akigombea URAIS akishindwa basi awe mbunge hiyo HAIFAI. Tulikuwa na wagombea URAIS kama (NO DISRESPECT) Fahmu Dovutwa, Shao, Anna Senkoro, Hashim Rungwe. Just imagine watu kama hawa wangeingia BUNGENI SIMPLY waligombea tu URAIS si ni janga jingine la VITU MAALUMU.

WAGOMBEA URAIS wote wagombee pia UBUNGE iwe ni pre-requisite. Akikosa URAIS lakini kwao anakubalika atapata ubunge.

Ninasikia kuna VETERANS wagombea URAIS lakini hawajawahi hata kupata UBUNGE. Tuwapime kama kwao wanakubalika.

Kenya wallahi wako mbele sisi Watanzania hata nyayo zao tu hatuzifuati!
 
I see there is a point here. Tungeweza kuweka percentage limit, say asilimia 5% ya kura zote. Imagine watu 2, 000, 000 ya watanzania waliokuwa na imani na mtu fulani kwa sababu ya sera na mtazamo wake, wakakosa uwepo wa mtu huyu bungeni! Kwa hiyo leo tungekuwa tunafaidi uwepo say wa akina Dr Slaa, Lipumba na wengine Bungeni kuliko kuwa utitiri wa hopeless people in the name of 'Viti maalumu', ambao kazi wengine ni mipasho na kusema ndioooooooooooo.

Mkuu Kasema watakao shaika nafasi ya pili na tatu, trend ya chaguzi zilizo pita zianonyesha wagombea wanoshaika nafasi hizi mbili wana vuka 5% ya kura. Mimi naunga mkono hoja
 
mchango kwa maendeleo ya taifa sio lazima mtu awe mbunge ni sawa sawa na kumchagua mbunge anayetumia fedha zake mwenyewe kuleta maendeleo,ukichunguza kwa umakini utakuta ni mfanyabiashara anayeliibia taifa 100 na kurudisha 10,jiulize mtu kama huyo alishindwa kutoa misaada yake ya maendeleo mpaka awe mbunge ? kulikomboa taifa sio lazima uingie kwenye siasa,kuingia kwenye siasa sio lazima uwe diwani,mbunge au rais,unaweza kuongoza kwa ku-monitor wawakilishi wa chama chenu kusimamia

kwahiyo ni bora kuwa na viti maalum kuliko hao wagombea watatu
 
mchango kwa maendeleo ya taifa sio lazima mtu awe mbunge ni sawa sawa na kumchagua mbunge anayetumia fedha zake mwenyewe kuleta maendeleo,ukichunguza kwa umakini utakuta ni mfanyabiashara anayeliibia taifa 100 na kurudisha 10,jiulize mtu kama huyo alishindwa kutoa misaada yake ya maendeleo mpaka awe mbunge ? kulikomboa taifa sio lazima uingie kwenye siasa,kuingia kwenye siasa sio lazima uwe diwani,mbunge au rais,unaweza kuongoza kwa ku-monitor wawakilishi wa chama chenu kusimamia

kwahiyo ni bora kuwa na wabunge wa viti maalum 50 wa kugonga meza kuliko kuwa na vichwa vitatu vyonye maana
 
I see there is a point here. Tungeweza kuweka percentage limit, say asilimia 5% ya kura zote. Imagine watu 2, 000, 000 ya watanzania waliokuwa na imani na mtu fulani kwa sababu ya sera na mtazamo wake, wakakosa uwepo wa mtu huyu bungeni! Kwa hiyo leo tungekuwa tunafaidi uwepo say wa akina Dr Slaa, Lipumba na wengine Bungeni kuliko kuwa utitiri wa hopeless people in the name of 'Viti maalumu', ambao kazi wengine ni mipasho na kusema ndioooooooooooo.
Ndiooooooooooooo. Wananiboa wakisema ivo?>
 
Naunga na wewe, ila kuwe na kiwango cha kula anachotakiwa kupata, tuseme atakayepa kuanzia 5% ya kura zote aweze kuingia bungeni

Ni vyema sasa sheria za uchaguzi zikarekebishwa ili angalau mshindi wa pili na watatu waliogombea uraisi kwa vyana vya siasa watakao shindwa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu kuingia bungeni,hii itasaidia sana kwa wale wenye malalamiko au majeraha ya kisiasa kupata mahalipa kutolea madukuduku yao,na pia ili serikali ipate michago yao ambayo italisaidia taifa kupiga hatua.tumeshhudia wagombea wengi wenyeuwezo wakiachwa na michango yao ikipotea na pengine kuzaraulika kwa sababu tu hawana mahali sahihi pakusemea na michango ingelisaidia sana taifa kwani wangewawakilisha watanzania wengi waliowachagua kipindi cha uchaguzi mkuu na wananchi tungepata muda mzuri wa kuwatathimini na kùwapima.
 
Ni vyema sasa sheria za uchaguzi zikarekebishwa ili angalau mshindi wa pili na watatu waliogombea uraisi kwa vyana vya siasa watakao shindwa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu kuingia bungeni,hii itasaidia sana kwa wale wenye malalamiko au majeraha ya kisiasa kupata mahalipa kutolea madukuduku yao,na pia ili serikali ipate michago yao ambayo italisaidia taifa kupiga hatua.tumeshhudia wagombea wengi wenyeuwezo wakiachwa na michango yao ikipotea na pengine kuzaraulika kwa sababu tu hawana mahali sahihi pakusemea na michango ingelisaidia sana taifa kwani wangewawakilisha watanzania wengi waliowachagua kipindi cha uchaguzi mkuu na wananchi tungepata muda mzuri wa kuwatathimini na kùwapima.

T.2015.CDM,

..mimi naona waachwe tu waendelee na shughuli zao kama sisi wapiga kura wao tunavyofanya.

..wanapoingia kwenye kinyanganyiro cha uraisi waelewe kwamba mshindi atakuwa ni mmoja tu.

..sasa hapa unajenga hoja kwa ajili ya waliokosa Uraisi, how about waliokosa ubunge,waliokosa udiwani etc etc?

..je, inamaana walioshindwa nafasi nyingine kama ubunge,udiwani,..nao tuwatafutie nafasi za "kifuta machozi??"
 
i see there is a point here. Tungeweza kuweka percentage limit, say asilimia 5% ya kura zote. Imagine watu 2, 000, 000 ya watanzania waliokuwa na imani na mtu fulani kwa sababu ya sera na mtazamo wake, wakakosa uwepo wa mtu huyu bungeni! Kwa hiyo leo tungekuwa tunafaidi uwepo say wa akina dr slaa, lipumba na wengine bungeni kuliko kuwa utitiri wa hopeless people in the name of 'viti maalumu', ambao kazi wengine ni mipasho na kusema ndioooooooooooo.
mimi nina mashaka ccm inaweza ikaweka mamluki ambao at the of the day watarudi kupunguza kasi ya hoja za mrengo wa kushoto. Nakubaliana na idadi ya watu waliompigia kura let say kuanzia 500,000 nakuendelea
 
Back
Top Bottom