Elections 2010 Wagombea Urais 2010; Tetesi na zaidi ya tetesi

Hawa wanaukana Muungano yet wakiongea wanasema Ilaya ya CCM hapa kuna jambo limenipita kisa niko Mlimani ?
 
Hawa ndiwo type of leaders ambao CCM Dodoma HQ wanawapenda kuwaweka madarakani znz baadae wana wambia nini cha kufanya, na hata mtu kama Pinda akiiwatukana wa-zenj wote( top leaders) hawawezi kusema lolote. Ya laiti ingeliwachwa zenj ikajitawala kwa muda mfupi tu basi yengelirudi kwenye original position yake ( Paradise of Africa )
 
Waziri mkuu mizengo pinda na waziri wa mambo ya nje benerd membe wanaandaliwa na kanisa katoliki kuwachukua urais 2015.

Chanzo mjengwa blog.

Pinda, Membe wote na tofauti gani na JK? Wote hawa wanasaidia nchi kukamatwa na wafanyabishara wachache panoja na fisadiz. They are there for themselves.
 
pinda akipewa uraisi basi mafisadi watakiona cha moto ni papo kwa papo tu ,akuna kulaza damu ,ila sasa hivi kuna uswahiba ndio unampa ugumu wa kumaliza kazi kwa haraka ,hajui amuanze nani amuache nani maana anaweza akabakia peke yake ikawa mbinde.
mwiba.
Unajua kuwa pinda alikuwa msaidizi wa mkapa ikulu madudu ya mkapa huyajui?lini alikuwa mtendaji au unamuota sokoine?
 
Hawa wanaukana Muungano yet wakiongea wanasema Ilaya ya CCM hapa kuna jambo limenipita kisa niko Mlimani ?
ww hebu jadili mada hapa hapana habari za muungano nani anautaka nani hautaki, hata kama ww unautaka umebadlisha nini katika maisha yako, wanaofaidi si hao tu wanaokuibia kodi yako kila siku, unawalaani na ikifika uchaguzi hukomi unawachagua hao hao.
 
Tena mimi nadhani itakuwa juu ya hiyo 90%. Ki utendaji, mpaka sasa sijaona Rais yeyote wa kabla aliyempita, na Mungu kaniwezesha kuwaona na kuishi kwa siku zote walizokuwepo madarakani wote wanne na pia kidogo kabla yao.

Kikwete ni juu zaidi kwa miasili mia mingi tu. hamna cha nyerere wala mwinyi wala nkapa. wote hawampati hata robo, kwa kila kitu, kuanzia personality mpaka utendaji.

Mitazamo hii ndio inatuweka tz mahali tulipo, watu wanapiga kampeni eti Rais ni handsome!! my foot!! uhandsome wake unatusaidia nini kama nchi? tupo kwenye mashindano ya sura hapa? tunataka Rais mwenye kuwajibika kwa wananchi waliomchagua, mwenye vision na agenda. Ninasikitika huo udhoefu wako wa kabla ya uhuru hauna maslahi kwetu, wasted presence, ni bahati mbaya hujaweza hata kujifunza kuwa tungeweza kuwa na uongozi bora zaidi, badala yake umeuona huu wa kibabaishaji zaidi eti ni bora. Sielewi kama vigezo vyako vya kupima ubora vinaleta maana yoyote.
 
Moderator.
Hizi ni mada mbili tofauti naona ziko pamoja. Ya kwanza inazungumzia uchaguzi wa 2010.mimi nikaanzisha ya pinda na membe 2015 vitu viwili tofauti naomba ufafanuzi?
 
We should ask ourselves this 'big' question: Are we better off today than during Ben's era? Responses needed. Lakini ziwe hoja za nguvu.
 
Former London mayor Mr Ken,was quoted saying some people they are voting party based on prety faces rather contents.
 
hahahaaaa! eti nini? nani yuko juu? intended and unintended results??!! tehe tehe tehee!

matokeo yanapimwa kwa yale yaliyopangwa, siyo yasiyopangwa! kwani kwenye ilani kuna kuongeza uhuru wa bunge??!! Watu wengine bwana.
 
nijuavyo mimi, kikwete anaweza akashindwa uchaguzi mwakani, amini msiamini, asipokaa vyema, nchi anaachia mwakani. waislam wengi wamejipanga kuwapa cuf, ukiondoa na kura za vijana zilizo nyingi kwa chadema, kikwete atabakiwa na wanavijiji wachache tu. Mungu asaidie adondoke kwabisaaa, ili nchi hii ichukuliwe na upinzani ili wajifunze kuwa tz tunaweza tukawaweka kiganjani. Ila fujo sitaki, Mungu atuepushe na fujo mwakani.
 
nijuavyo mimi, kikwete anaweza akashindwa uchaguzi mwakani, amini msiamini, asipokaa vyema, nchi anaachia mwakani. waislam wengi wamejipanga kuwapa cuf, ukiondoa na kura za vijana zilizo nyingi kwa chadema, kikwete atabakiwa na wanavijiji wachache tu. Mungu asaidie adondoke kwabisaaa, ili nchi hii ichukuliwe na upinzani ili wajifunze kuwa tz tunaweza tukawaweka kiganjani. Ila fujo sitaki, Mungu atuepushe na fujo mwakani.

Bora useme...Natamani Kikwete ashindwe uchaguzi mwakani...hata asipokaa vyema wameshapanga lazima ashinde c ndio walivyojiwekea? eti awamu mbili!! CCM watafanya kila mbinu hadi ashinde hata ikibidi meza zibinuliwe....., watu wapigwe mitama...watu watiwe ndani eti wanaleta vurugu...
Yaani watz wengi tumemchoka ila basi tu, hana anachoweza........labda kama ile sheria ya kuwa na mgombea binafsi ingepitishwa, hapo angetikiswa kwa sana tu, watz wangempiga chini.
Jamani tuvumilieni hii miaka 5 hadi 2015. Kwa ushauri nguvu zielekezwe kwa vyama upinzani kupata wabunge wengi zaidi.
 
Back
Top Bottom