wageni

jockey emmanuel

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
330
50
ETI WANAjf WENZANGU...NAPENDA KUJUA JINSI WAGENI WANAOJIUNGA NA JF WANAVYOFURAHIA KUJIUNGA,nimejaribu kujiuliza lkn sijapata jibu.Jingine ni kwamba,ni kwanini wavulana walio ktk mahusiano wanaamini kuwa sex huongeza upendo wakati inasemekana kuwa after sex before marriage,wavulana huwatangaza wasichana na kuwadharau hivyo hata wakifunga nao ndoa,uaminifu unakosekana?jambo hili wanakutana nalo wasichana wengi hasa wanaojiingiza ktk mapenzi ktk umri mdogo.....:teeth:
 
Jf ina raha ukiwa na subira na ukajipa muda wa kusoma mazingira, ukatoa thread za kujenga na kukosoa na ukatetea hoja yako, usifate mkumbo utaonekana huna busara wala hujui unalo fanya. kwa kifupi humu ni full maraha masaa yote ni wewe tu ni wewe tu na airtime yako.
Swala la mwanaume kumtangaza mwanamke wake ni utashi wa mtu mwenyewe au vijana wengine wanasema ili waonekane na wenzao wao ni wakareee. Nakumbuka secondary ndio michezo kama hii hufanyika nina hisia na wewe ni wa huko au nimekosea?
 
best unapuliza na kushindilia msumari wa moto!!! ha hahaaaaaa
 
ETI WANAjf WENZANGU...NAPENDA KUJUA JINSI WAGENI WANAOJIUNGA NA JF WANAVYOFURAHIA KUJIUNGA,nimejaribu kujiuliza lkn sijapata jibu.Jingine ni kwamba,ni kwanini wavulana walio ktk mahusiano wanaamini kuwa sex huongeza upendo wakati inasemekana kuwa after sex before marriage,wavulana huwatangaza wasichana na kuwadharau hivyo hata wakifunga nao ndoa,uaminifu unakosekana?jambo hili wanakutana nalo wasichana wengi hasa wanaojiingiza ktk mapenzi ktk umri mdogo.....:teeth:

1. Unajiuliza nini?
2.Unapenda kujua wanavyofurahia?? too personal
3. Hebu hapo kwenyer RED, rekebisha ulichokuwa unakusudia kuuliza

Sijajua kama ulikuwa unauliza au ulikuwa unajaribu kuimba ushauri, au ulikuwa unapenda uwape watu ushauri??
Karibu sana JF,
ukiamua kuipenda JF utaipenda, na hata kuichukia, na JF ina uwezo wa kukuchukia. Uwe mvumilivu
 
Jf ina raha ukiwa na subira na ukajipa muda wa kusoma mazingira, ukatoa thread za kujenga na kukosoa na ukatetea hoja yako, usifate mkumbo utaonekana huna busara wala hujui unalo fanya. kwa kifupi humu ni full maraha masaa yote ni wewe tu ni wewe tu na airtime yako.
Swala la mwanaume kumtangaza mwanamke wake ni utashi wa mtu mwenyewe au vijana wengine wanasema ili waonekane na wenzao wao ni wakareee. Nakumbuka secondary ndio michezo kama hii hufanyika nina hisia na wewe ni wa huko au nimekosea?

nakuheshimu dia!! naona unaweza sana kuyasoma mawazo ya dogo!!!

siumeona jibu lake? tena si ajabu yupo kidato cha pili huyu!!! ha ha haaaaaaaa watoto wa siku hizi lol!!!!
 
Sasa sijui anapata muda wa kusoma huyu maana hizi forum zinataka uwe na muda
 
Back
Top Bottom