Wageni wakija, zima tv!

kuna wagen wengine hawana ustaarabu hata chembe,kuanzia kwenye misoc,kinywaj,mara tv,miguu kwenye sofa yaan vurugu,mara soksi zinanuka hajafua kaz kwel kwel
 
Mi kila nikienda kwa uncle huwa simkuti ila namkuta shangazi miss dutyfull basi haraka haraka anaanza “nyumbani hawajamboeeh?“Sawa basi naomba we angalia angalia tv hapa mi natoka kidoogo ntarudieeh,”mbio mbio huku akikimbilia kuwasha ka mchina kake! Siku hizi siendi tena ati
 
Back
Top Bottom