Wageni wakija, zima tv!

TheChoji

JF-Expert Member
Apr 14, 2009
4,974
15,310
Zamani ilikuwa mtu ukipata wageni mnakaa mnapiga stori, mnapeana habari za miaka tele na kufurahi pamoja. Siku hizi hali ni tofauti. Mkishasalimiana tu kinachofuata ni kukodoa macho kwene tv. We unajaribu kuanzisha topic ili angalau muongee lakini wapi bwana.. wageni macho pima kwn screen. Wengine ndio kwaanza wanashika rimoti na kuanza kuchagua channel wanazopenda wao. Jamani, mmekuja kunisalimia au kuangalia tv? Mi kuanzia sasa nikipata wageni nazima tv!
 
Mi kama ni mgeni wako nakuambia uwashe tv.
 
ha ha ha
mada zingine ni vunja mbavu tu.

Hebu niwashie TV huko, nimekuja na mkanda wangu wa Sarafina.
 
teh teh teh teh teh duh umenikumbusha miaka ya 90's yaani akija mgeni utasikia story kibao, ila now day hakuna jipya. Duh long time sana
 
Zima kila kitu, TV , Cellphone, play station , xbox ,nintindo, Wii , lap top , etc na kama mziki unasumbua zima hiyo sterio pia ..
 
Labda ukazimie kwnye main switch!! mana wageni wa siku hizi wala hakwambii washa!! anawasha mwenyewe.
MAPROSOO.
 
Si ndo vizuri unapa muda wa kufanya mambo yako wakati wao wamekodoa kwenye Tv
 
Back
Top Bottom