Wageni someni hapa

Asiyetaka challenges ajiachie,siwez kubali kila wazo alaaa kinyaa,naskia kutapika.
 
Je mnakuja kuimarisha hii nyumba au nyie ni wanafiki na vizabizabina mlio tumwa kuiharibu na kuivunja hii nyumba?
Kabla hujaingia humu ndani jiulize dhamira yako kama wewe ni mwema au mfitini.
Kama umekuja kwa mabaya, kwa kutumwa na kundi fulani au chama fulani hapa hapakufai.

Kaka usizunguke mbuyu we sema tu, wafuasi wa leka dutigite
 
Back
Top Bottom