Uda
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 811
- 624
kuna taarifa ya mgawanyiko mkubwa uliotokea kwa waganga wakuu wa wilaya na mikoa kuhusu mgomo wa madaktari.group la kwanza lenye vijana wengi linataka kutoa tamko dhidi ya serikali,linataka mawaziri waachie ngazi.kundi hili limeamua kutetea profession yao.kundi la pili bado linataka utii kwa serikali uendelee.
Kweli huu mgomo unaweza kuleta historia tanzania.
Kweli huu mgomo unaweza kuleta historia tanzania.