Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 41,983
- 12,701
.......huko kwenu nasikia ndio wataalamu wa mambo haya, mwanaume akishikwa hachomoki!hapana mi ni chinga la masasi vijijini (huko wanakula mpaka kobe)
.......huko kwenu nasikia ndio wataalamu wa mambo haya, mwanaume akishikwa hachomoki!hapana mi ni chinga la masasi vijijini (huko wanakula mpaka kobe)
huko ni noma mie sitaki hata kwenda naweza kuacha mke wangu bure nasikia kule unaweza ukapigwa limbwata mpk ukaacha kazi unataka ukae na demu muda wote kazini utaki kwenda.......huko kwenu nasikia ndio wataalamu wa mambo haya, mwanaume akishikwa hachomoki!
Habari wana jamvi, nilikuwa kifungoni nimerudi upya
Juzi kati nilimpeleka jamaa yangu mmoja nyumbani kwao kabisa alikwenda kuchukua fomu za Ubunge sasa jirani na kwao kuna mganga wa kienyeji maarufu kwa pale nilikuta kina dada wametoka DSM kufuata madawa, wako njema walikuja na gari nzuri tu ila walikuwa pale nasikia kuhusu mambo ya mahusiano na mabwana zao nasikia yule mganga ni kiboko kuna dawa anawapaka mbunyeni mtu aliyemdhamilia akigonga ngozi anapagawa hakohoi na hata kama ana mke hamkumbuki tena na anafanya chochote atakachohamriwa na demu
wenyeji wanasema kuna kipindi wanajaaga wanawake kibao pale kutoka kona mbalimbali za nchi
Kumbe uwa tunarogwa si bure kama wengi wanavyofikiria
nina shida nayo hiyo dawa plz send an email to me unielekeze huko mahali mariambura49@gmail.com
Imani ya uchawi ipo.
Nguvu za uchawi hazipo.
Na kwa mtaji huo hakuna mitishamba ya mapenzi.
Hakuna. Hakuna. Hakuna.
mbona hata mahotelini kuna madawa ya kuvutia wateja watu tunakula mchuzi umepikiwa kwa maji ya maiti
wanadai ooh sijawahi kula nyoka konokono kumbe washalishwa hata maduduwasha hawa mrudieni bwana yesu muokoke:tape:
mmeongea meeeeeeeengi sana......sasa uyo mganga anapatikana wap?
nashukuru:doh:
Na mimi nilitaka kuuliza?-?????-?????-???? nahitaji kupajua?-?????-?????-????
Tatizo si uganga bali ni aina ya uganga unaotumika mfano kuna tofauti kubwa sana kati ya mganga na mpiga ramri ingawa wote ni waganga mpiga ramri kiasili ni mshirikina au mchawi kabs tena usku kazini kama kawaida, huyu mwingine ni tabibu tu kama madoctor wa hospitalini unamwelezea ttzo anakupa dawa mambo yanaendelea,kabla ya kuja wazungu na kuleta dini na kuanzisha hospitali sisi waafrika tiba zetu zilikuwa ni miti shamba,kumbukeni mkataa kwao ni mtumwa na asili haikimbiwi,tusijitie wazimu tukasahau asili yetu, mizimu ya koo zetu na mababu zetu iko kazini haifi itakutafuna tu usipopata tiba na kujifanya mzungu mweusi panadol haziishi kabatini ,neno la mungu linasema laana ya babu zako itakutandika mpaka kizazi chako cha nne sasa jiulize ww ni kizazi cha ngapi?na huko nyuma babu zako walikuwaje kiasili? je hayo yote unayopitia chanzo chake wakijua na una uhakika ni mpango wa mungu akulambe magonjwa na matatizo yasiyokatika! kama jibu ni hapana endelea kusubili utashangaa, na kuna wachungaji wanakwambia kabs ttzo ulinalo ni kubwa kwa maombi ya kawaida hulitoki sasa hapo unategemea nn? kama siyo kwenda kwa babu upone,siyo kila anaenda kwa mganga anapenda sometimes asili na koo tulimozaliwa mizimu ina nguvu kuliko tunavyofiklia so inabidi urudi asilini ili kufumua mfumo na nguvu ya hiyo mizimu kwanza
nina shida nayo hiyo dawa plz send an email to me unielekeze huko mahali mariambura49@gmail.com
hapo ndipo uwezo wako wa kufikiri umeishia sikulaumu sanaDizain unaonekana ni sangoma!